Vijana wengi wameathiriwa na kujichua na kusagana

Vijana wengi wameathiriwa na kujichua na kusagana

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Vijana wa kike na wakiume hususani mnao ishi hostels mnajichu na kusagana mno. Hali hiyo ni hatari sana kwa afya ya uzazi siku za usoni.

Hali hii inachochea na kushamiri kwa ongezeko kubwa la vijana wengi wa kiume kukosa pumzi, nguvu na stamina ya kujamiiana vizuri na kufika mshindo wa nguvu na tajika kumridhisha mwanamke, huku vijana wa kike nao kutokuridhika kabisa au kutokutosheka na tendo moja au mawili alopewa na kijana wa kiume, hali hiyo inatokana na usugu uliosababishwa na kusagana au kujichua kwa kutumia midoli ya kiume ambayo huharibu pakubwa sura na muonekano wa sehemu zao nzuri za siri walizo jaaliwa na Mungu.

Rai yangu kwa vijana wote. Epukeni mazingira yanayowachochea kukimbilia kujichua au kusagana, Mathalani kuangalia picha za utupu na video za ngono, kupiga chabo watu wanaojamiiana n.k.

Ni vizuri kujikita kwenye masomo zaidi, hasa kujisomea vitabu, makala na majarida mbalimbali ili kujiongezea ujuzi, maarifa, uelewa na ufahamu Juu ya masuala mbalimbali ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni, sayansi na technologia nakadhalika kama mbadala wa wa kujichua au kusagana.
Asante kunielewa....
 
Naonaga ni uzembe wa kiwango cha juu kwa dem kujichua au kusagana.

Maana sisi tupo, ukigusa tu tunanasa. Tofauti na sisi wanaume mpaka uwe na pesa au mpaka umuimbishe manzi ndo akupe mzigo.

Dem unatongozwa na mamen hata 10 si umtunuku mmoja hapo sio unajichukulia sheria mkononi kama mwanaume.
 
Uzembe kivipi kama wao hawajalalamika kutokutongozwa?
 
_20231115_231230.JPG
 
Back
Top Bottom