Afrocentric view
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,374
- 2,280
Dah nmetoka kupiga kimojo ndo nakutana na hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajibu hili swali asituletee stori za kusikia hapaUmejuaje yote hayo?
aissee ni Hatari mno, ni kubayaMimi nawaonea huruma tu wale wazee wa kataa ndoa, wanaohisi kwamba wakifanya hivyo basi ndio wanawake watajirudi na kuwa na maadili hivyo watawabembeleza wanaume wawaoe, napenda wafahamu tu kuwa tunakoelekea ndio kubaya zaidi hivyo vizazi vinavyokuja ndio kabisa hakuna kubembelezana wala kubow yani
Na huko kwenye usagaji ndiko watakakokimbilia wanawake wengi ambao watakosa ndoa, maana nasikia wengi wanakiri kuwa huko ndiko wanakoridhika zaidi kuliko kwa wanaume ambao ni wabinafsi, wanawaza kuridhika wao zaidi halafu wanaishia kuwachafua tu wanawake bila kuwafikisha vileleni
Mimi nashauri tu kama tumeamua kukataa ndoa basi tuhakikishe tunaikataa kwa dhati na siyo kwa kubeep au kusikilizia upande wa pili utarespond vipi, na kama tumeamua kuyalinda maadili basi wote tuyalinde ipasavyo bila kutegeana, au kusema eti jinsia fulani ndio inatakiwa ibadilike narudia tunakoelekea ni kubaya
Mimi siamini kama nyeto ina madhara mpaka leo.Hii ishu ni nzito mno. Sema ungekuta nyeto haina madhara ingekuwa njia nzuri ya kujikinga na UKIMWI. Hili gonjwa wakuu bado lipo na linatisha mno. Kuna siku shangazi yangu alikuwa mgonjwa ikawa inahitajika kumchangia damu... nakumbuka kwenye group la vijana kama 8 tuliokuwa salama kuweza kuchangia damu salama tulikuwa watatu tu. Na kwa wakati ule usingeamini watu walikuwa wako vizuri kabisa kwa kuwatazama. Tayari katika hao walisharudisha jezi.
Mimi siwezi nikakomaa 100% kwamba vijana waache nyeto. Ninashauri waliofika umri wa kuoa na tayari wamepata wapenzi wanaoendana basi waoane. Ushauri wa kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu haufai kabisa kwa wakati tuliopo. HAKUNA MPENZI MWAMINIFU. Ukiwa na mpenzi tumia condom. Mke au mume peke yake ndo kula kavu.
Nadhani ni muda wa wataalamu wa Afya kutoka na kueleza msimamo kamili kuhusu nyeto. Watoe ushauri wa njia salama ya kupiga nyeto badala ya kila mara kujitokeza na KUISEMA VIBAYA NYAMA PENDWA KITIMOTO.
Ulikuwa unapiga kwa kiasi. Kuna wanaopiga hata bao tatu kwa siku. Na karibia kila siku anapiga. Ila kama hukuzaliwa na matatizo ya kiafya ukiamua kuacha hata kama madhara yalianza kujitiokeza basi hutoweka na kurudi kawaida. Tatizo ni kwenye kuacha.Mimi siamini kama nyeto ina madhara mpaka leo.
Coz I practiced it for almost 9 years lakini sijaona madhara ambayo yanaweza kuwa permanent.
Sana tu labda nilikuwaga na hofu, lakini sijui kukojoa mapema au kuwa kibamia ni uwongo mtupu.
Muhogo wangu uko saizi ile ile (haujanywea) na pia ku-last longer (40 minutes plus) kuko pale pale.
NB : Sishawishi mpige nyeto, but hakuna ushahidi wa kisayansi unaoonesha nyeto ina madhara makubwa kama ambavyo mnatishiwa.
Nyeto ni kitendo cha aibu sana, hii sababu tu ndiyo ilinifanya niache nyeto
sasa dunia haijaanza leo wala jana, kuhusu kusagana kwa wanawake ni karne na karne nyuma, kuhusu wanaume kuingiliana haijaanza leo ukisoma Mwanzo 19:Mimi nawaonea huruma tu wale wazee wa kataa ndoa, wanaohisi kwamba wakifanya hivyo basi ndio wanawake watajirudi na kuwa na maadili hivyo watawabembeleza wanaume wawaoe, napenda wafahamu tu kuwa tunakoelekea ndio kubaya zaidi hivyo vizazi vinavyokuja ndio kabisa hakuna kubembelezana wala kubow yani
Na huko kwenye usagaji ndiko watakakokimbilia wanawake wengi ambao watakosa ndoa, maana nasikia wengi wanakiri kuwa huko ndiko wanakoridhika zaidi kuliko kwa wanaume ambao ni wabinafsi, wanawaza kuridhika wao zaidi halafu wanaishia kuwachafua tu wanawake bila kuwafikisha vileleni
Mimi nashauri kama mmeamua kukataa ndoa basi hakikisheni mnaikataa kwa dhati na siyo kwa kukomoa au kusikilizia upande wa pili utarespond vipi, na kama mmeamua kuyalinda maadili basi wote myalinde ipasavyo bila kutegeana, au kusema eti jinsia fulani ndio inatakiwa ibadilike nasemaje you'll be disappointed
Hawataki pipe na sio kama wamekosa wakuwapiga pipe.Mkuyenge ndio tiba, hawakuzaliwa na hisia za misago, wafanye kujirahisha wapigwe pipe.
haya madhara huwa yanatokea baada ya mda gani ? naona ni fantasies hakuna uhalisia juu ya hiloUlikuwa unapiga kwa kiasi. Kuna wanaopiga hata bao tatu kwa siku. Na karibia kila siku anapiga. Ila kama hukuzaliwa na matatizo ya kiafya ukiamua kuacha hata kama madhara yalianza kujitiokeza basi hutoweka na kurudi kawaida. Tatizo ni kwenye kuacha.
2020 ni mapema sana. Madhara ya nyeto ni baada ya miaka mingi ndo utayaona rasmihaya madhara huwa yanatokea baada ya mda gani ? naona ni fantasies hakuna uhalisia juu ya hilo
binafsi napiga kila siku, ndiyo kila siku, bao 3 mpaka 4, tangu Nov 2020 nilipoachana na yule bibie, mpaka leo hii (niko serious)
Ex anajilengesha daily, hajui kama Nyeto imechukua nafasi yake, nadhani anashangaa kwanini siombi kupasha kiporo
mingi mingapi ? madhara kama yapi ?mingi ndo utayaona rasmi
Mkuu sijakataa kwamba watarudi kwa wanaume kumwagiwa mbegu ili wazae ila point yangu ni kwamba watarudi kwa lengo la kuzaliana tu, na si kwa lengo la ndoa wala kuridhishwa au kupeana mapenzi kitu ambacho ni kinyume na matarajio ya wanaume wengi wanaokataa ndoa, hawa wanaume wanaokataa ndoa lengo lao eti ni ili wawakomoe wanawake waanze kujirudi na kuwa wife material kisha wawabembeleze wanaume wawaoesasa dunia haijaanza leo wala jana, kuhusu kusagana kwa wanawake ni karne na karne nyuma, kuhusu wanaume kuingiliana haijaanza leo ukisoma Mwanzo 19:
Wale malaika wawili wakawasili mjini Sodoma jioni. Loti ambaye alikuwa ameketi penye lango la mji wa Sodoma, alipowaona, aliinuka kuwalaki, akainama kwa heshima, 2akasema, “Bwana zangu, karibuni nyumbani kwangu mimi mtumishi wenu. Mnaweza kunawa miguu na kulala kwangu usiku wa leo. Asubuhi na mapema mtaweza kuendelea na safari yenu.” Lakini, wao wakasema, “La! Sisi tutalala huku mtaani.” 3Loti akawasihi sana, mwishowe wakakubali, wakageuka na kuingia nyumbani kwake. Loti akawaandalia karamu, akaoka mikate isiyotiwa chachu, wakala.
4Lakini kabla ya kulala usiku, wanaume wote wa mji wa Sodoma, vijana kwa wazee, bila kubaki hata mmoja, wakaizingira nyumba ya Loti. 5Wakamwita Loti na kumwuliza, “Wako wapi wale wanaume waliokuja kwako? Watoe nje. Tunataka kulala nao.”
6Loti akatoka nje, akafunga mlango nyuma yake, 7akawaambia, “Ndugu zangu, nawasihi msitende uovu huo. 8Tazama, ninao binti wawili ambao bado hawajalala na mwanamume. Mniruhusu niwapeni hao wasichana muwatendee kama mpendavyo. Lakini msiwatende lolote wanaume hawa kwa sababu ni wageni wangu.”
Tunapotoka ni kubaya zaidi kuliko tunapokwenda tofauti na unavyosema, kama kuna watu walitaka kuwaingilia malaika wa Mungu kinyume na maumbile can you imagine? kwa wakati huo dhambi iliyokuwa ikitendeka? hio ni before Jesus hajazaliwa, hata kama wanawake wakisagana wakimaliza watamtafuta mwanaume amwagie mbegu apate mtoto, hata uliye comment hapa ni kwa sababu ya mwanume na mwanamke kukutana, utaratibu aliouweka Mungu uheshimiwe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee naona Uhuru ume zidi, banyeta ni chama huru.
[emoji117]Wana Katiba, n taratibu zinazo waongoza,
[emoji117]Ewe mwenyekiti wa chama Cha mkono bao na kujichukulia sheria mkononi dronedrake sema jambo
Katibu was Wala nyeto mshamba_hachekwi tetea chama mzee
View attachment 2814941
na wewe angalia usianze kujichua kisa jina tu la DemiNiko nje ya mada.
Ila nikionaga ID yako mi roho yangu, inapata mshituko mzuri.
uije ukaanza kujichua mkuu kisa tu ID ya Demi.......ohooNiko nje ya mada.
Ila nikionaga ID yako mi roho yangu, inapata mshituko mzuri.
Madhara ya punyeto;mingi mingapi ? madhara kama yapi ?
zote nadharia hizi, fantasiesMadhara ya punyeto;
1. Uume kusimama kwa ulegevu unapokutana na mwanamke na huenda ukasimama kwa muda mfupi na kushindwa kabisa kusimama.
2. Kutofurahia tendo na mwanamke. Yaani ile ladha ya K inakuwa sio sawa na kama ungepiga nyeto.
3. Kuwa mchovu. Mpiga nyeto hata mkienda jogging lazima achoke sana.
4. Usahaulifu. Katika madhara makubwa ya nyeto yasiyotajwa sana ni kusahau. Nadhani nyeto inashambulia mishipa ya fahamu.
5. Nyeto huhusisha kuangalia porn hivyo mtu anaweza kuwa addicted hadi kuanza kuangalia porn za watu wa jinsia moja na yeye kunasa kwenye ushoga. Nyeto na ushoga haviko mbali sana. Sitashangaa wewe Dronedrake siku moja ukawa Anti Dronedrake endapo utaendelea na nyeto.