Vijana wengi wameathiriwa na kujichua na kusagana

Vijana wengi wameathiriwa na kujichua na kusagana

Mimi nawaonea huruma tu wale wazee wa kataa ndoa, wanaohisi kwamba wakifanya hivyo basi ndio wanawake watajirudi na kuwa na maadili hivyo watawabembeleza wanaume wawaoe, napenda wafahamu tu kuwa tunakoelekea ndio kubaya zaidi hivyo vizazi vinavyokuja ndio kabisa hakuna kubembelezana wala kubow yani

Na huko kwenye usagaji ndiko watakakokimbilia wanawake wengi ambao watakosa ndoa, maana nasikia wengi wanakiri kuwa huko ndiko wanakoridhika zaidi kuliko kwa wanaume ambao ni wabinafsi, wanawaza kuridhika wao zaidi halafu wanaishia kuwachafua tu wanawake bila kuwafikisha vileleni

Mimi nashauri kama mmeamua kukataa ndoa basi hakikisheni mnaikataa kwa dhati na siyo kwa kukomoa au kusikilizia upande wa pili utarespond vipi, na kama mmeamua kuyalinda maadili basi wote myalinde ipasavyo bila kutegeana, au kusema eti jinsia fulani ndio inatakiwa ibadilike nasemaje you'll be disappointed
Kataa ndoa,siyo wote wanapiga nyeto,hapana,kuna ambao wanatembea na maex wao,na hao maex wameolewa na wengine wanatembea na wake za watu,ambao wameolewa na wale ambao ndoa ni kipaumbele kwao,hivyo usidhani mtu akiwa hajaoa,hafanyi sex.
 
napiga bao 4 kila siku kwa nyeto, ndiyo, 4, zimepungua 3, mpaka natoa maji


asiyeomba pesa yuko sayari ipi niende huko nimfuate ?
Bao za nyeto huwezi kufananisha na mwanamke, sisi tuna joto tofauti na hizo sabuni mnazotumia au mafuta.

Wanawake wasioomba pesa kila mara wapo, tatizo mmekariri. Mfano hai me hapa sista ako mbona siombi pesa 😜
 
Vijana wa kike na wakiume hususani mnao ishi hostels mnajichu na kusagana mno. Hali hiyo ni hatari sana kwa afya ya uzazi siku za usoni.

Hali hii inachochea na kushamiri kwa ongezeko kubwa la vijana wengi wa kiume kukosa pumzi, nguvu na stamina ya kujamiiana vizuri na kufika mshindo wa nguvu na tajika kumridhisha mwanamke, huku vijana wa kike nao kutokuridhika kabisa au kutokutosheka na tendo moja au mawili alopewa na kijana wa kiume, hali hiyo inatokana na usugu uliosababishwa na kusagana au kujichua kwa kutumia midoli ya kiume ambayo huharibu pakubwa sura na muonekano wa sehemu zao nzuri za siri walizo jaaliwa na Mungu.

Rai yangu kwa vijana wote. Epukeni mazingira yanayowachochea kukimbilia kujichua au kusagana, Mathalani kuangalia picha za utupu na video za ngono, kupiga chabo watu wanaojamiiana n.k.

Ni vizuri kujikita kwenye masomo zaidi, hasa kujisomea vitabu, makala na majarida mbalimbali ili kujiongezea ujuzi, maarifa, uelewa na ufahamu Juu ya masuala mbalimbali ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni, sayansi na technologia nakadhalika kama mbadala wa wa kujichua au kusagana.
Asante kunielewa....
Sio jambo zuri sana la kushauri hasa kwa unri wa vijana, ila hakuna namna njia mojawapo ya kuepuka hayi yote ni kuwa na mpenzi mmoja ambae mtakuwa mwaminifu basi


Ikishindikana basi fanya mazoezi sana, hakikisha unakimbia unafanya mazoezi ya kuchangamsha mwili, then epuka vyakula shawishi
 
Bao za nyeto huwezi kufananisha na mwanamke, sisi tuna joto tofauti na hizo sabuni mnazotumia au mafuta.
shida mizinga na UTI, mambo ya kukomaa na ma-azuma na pawa sef ndiyo siyatakagi
sitaki kukojoa viwembe

Wanawake wasioomba pesa kila mara wapo, tatizo mmekariri. Mfano hai me hapa sista ako mbona siombi pesa
hahaha ntajuaje, mpaka CW ahakiki ni kweli
 
Unajitahidi kwa kweli 😂😂😂
Wewe hata ukiona kuku zinakimbizana na wewe mbio kwenda kujimaliza 😜
hahahaha, hapana, nna video zangu chokozi, nikizicheki hizo basi taratiib nakwea mpaka juu, au baadhi ya nyuzi humu nikisoma tu, tayari nahama
 
shida mizinga na UTI, mambo ya kukomaa na ma-azuma na pawa sef ndiyo siyatakagi
sitaki kukojoa viwembe


hahaha ntajuaje, mpaka CW ahakiki ni kweli
Yutiayi SUGU 😂😂😂😂
Utapigwa sindano ya mwana ukome 🤣
Kantry sijawahi kumpiga mzinga hata mara moja ndiomana hasikii haambiwi.
Anajilia free 😜
 
hahahaha, hapana, nna video zangu chokozi, nikizicheki hizo basi taratiib nakwea mpaka juu, au baadhi ya nyuzi humu nikisoma tu, tayari nahama
😂😂😂😂 dah! Unajiweza una afya nzuri
Me hata niangalie mapilau, sihisi chochote naona km natazama movie la kutisha
 
Back
Top Bottom