Vijana wengi wameathiriwa na kujichua na kusagana

Vijana wengi wameathiriwa na kujichua na kusagana

Mimi siamini kama nyeto ina madhara mpaka leo.

Coz I practiced it for almost 9 years lakini sijaona madhara ambayo yanaweza kuwa permanent.

Sana tu labda nilikuwaga na hofu, lakini sijui kukojoa mapema au kuwa kibamia ni uwongo mtupu.

Muhogo wangu uko saizi ile ile (haujanywea) na pia ku-last longer (40 minutes plus) kuko pale pale.

NB : Sishawishi mpige nyeto, but hakuna ushahidi wa kisayansi unaoonesha nyeto ina madhara makubwa kama ambavyo mnatishiwa.

Nyeto ni kitendo cha aibu sana, hii sababu tu ndiyo ilinifanya niache nyeto
Hata mimi siamini kama nyeto ina madhara yoyote, labda saikolojia tu, ingekuwa na madhara basi kwa mda niliopractice ningekuwa hoi.
 
Back
Top Bottom