Vijana wengi wanapo hitimu elimu za O Level na A Level hufikiria haswa kusoma masuala ya Udaktari

Vijana wengi wanapo hitimu elimu za O Level na A Level hufikiria haswa kusoma masuala ya Udaktari

Kutokana na uelewa mdogo wa taaluma mbali mbali.

Vijana wengi wanapo hitimu elimu ya sekondari haswa kwa kidato cha sita. hufikiria haswa kusoma masuala ya Udaktari. uwalimu. ama uwanasheria. hakuna cha ziada
Wewe unapendekeza wasomee Nini?
 
Vijana wengi wanapo hitimu elimu ya sekondari haswa kwa kidato cha sita. hufikiria haswa kusoma masuala ya Udaktari. uwalimu. ama uwanasheria. hakuna cha ziada
Kama ungewaambia hicho cha ziada ni kitu gani ungewasaidia sana na ungebarikiwa
 
Laiti kama shule zote za o level zingekua na somo la fani ama elimu ya ufundi nadhani vijana wangekua wanamaliza shule na kujiongeza badala ya kufoc white collar jobs
 
Serikali ingeongeza somo la taaluma. Wanafunzi wafundishwe kuelewa idara na sekta na fani mbali mbali za ajira nje ya hizo ulizozitaja
 
Wengi hupendelea kazi zinazofanywa na Watu wanaowazunguka

Binafsi nilizungukwa na Jeshi, kwahiyo nilitamani niwe Askari moja kwa moja

Lakini baada ya kufika A'level na kuona maisha ya Wahandisi hasa wale Jamaa aliosoma Telecommunication Engineering, nikajiapiza kufia darasani ili nikasome Engineering Chuo Kikuu

Kwasasa watoto wangu wote wanataka kusoma Engineering pia, kwanini? Wameona Taaluma ya mtu aliyewazunguka
 
Ila pia ukoo unamatter.

Katika ukoo wetu hatujui hesabu zile za Kengele A imegonga mara 2, B mara 3 haya tafuta density of the sun. So wengi posts ni uwinga, ubodaboda na wizi
 
Kuna mkoa wanaupenda ualimu balaa mtu ana 1 o level na a level anaenda kusomea education in English and Kiswahili.

Nikamwambia hizo ningezipata mimi ningekua zangu kwa Ras Simba Headmaster
 
Ila pia ukoo unamatter.

Katika ukoo wetu hatujui hesabu zile za Kengele A imegonga mara 2, B mara 3 haya tafuta density of the sun. So wengi posts ni uwinga, ubodaboda na wizi
Hahaha........... inawezekana

Ndiyo maana unapotaka Kuoa, huwa wanaangalia asili ya Koo unapotaka Kuoa/kuolewa napo

Ndiyo maana wenzetu Kabila Moja la Kaskazini, hupenda kuchanganya damu

Hata kama ukimzalisha watoto 4 basi lazima mtoto mmoja ama wawili watakuwa wa nje
 
Kuna mkoa wnaaupenda ualimu balaa mtu ana 1 o level na a level anaenda kusomea education in English and Kiswahili.

Nikamwambia hizo ningezipata mimi ningekua zangu kwa Ras Simba Headmaster
Ualimu labda Kwa Mwanamke, Mwanaume labda mambo yakiwa yamegoma

Kwenye maisha ya Ndoa, ukioa Mwalimu basi utakuwa umelamba dume

Hao hawana mambo mengi, unaweza kumwachia hela ya Matumizi shilingi laki 4, baada ya Mwezi ukakuta amebakiza Salio la laki 1.5 kama Chenchi 🤗
 
Exposure matters pia.

Huu mkoa wanakutana sana na walimu na madaktari na manesi so wengi unakuta wanajua fani hizi tu.

Hua nikiongea na watoto wao utasikia anataka ualimu au udaktari. Ila wakishakutana na muziki wa udaktari ndiyo mtu ana one kote unamkuta ni education na ajira hapati kwakua siku hizi inabidi ufanye interview.

Wangejua kuna hizi kozi soft ila ndiyowatu wanaishi nazo na Mpwayungu haji kukusumbua
 
Ualimu labda Kwa Mwanamke, Mwanaume labda mambo yakiwa yamegoma

Kwenye maisha ya Ndoa, ukioa Mwalimu basi utakuwa umelamba dume

Hao hawana mambo mengi, unaweza kumwachia hela ya Matumizi shilingi laki 4, baada ya Mwezi ukakuta amebakiza Salio la laki 1.5 kama Chenchi 🤗
Labda ualimu wa zamani mkuu.

Hiki kizazi cha 2000 unadhani kinajali maadili ya ualimu?
 
Labda ualimu wa zamani mkuu.

Hiki kizazi cha 2000 unadhani kinajali maadili ya ualimu?
Hahaha...........kwamba Walimu wa miaka hii wamebadirika?

Utaniharibia soko, nina Mjukuu wangu mmoja ni Mwalimu nategemea kumwozesha Mwaka huu 😜
 
Lakini udaktari hauna tatizo hasa ukimaliza shahada na kuendelea.kila mtu husoma kulingana na watu wanaomzunguka.Mfano kama watu wanaomzunguka ni walimu na yeye kunauwezekano mkubwa wa kuwa mwalimu maana watamshauli Hivyo ili awe kama wao
 
Tuongee kuhusu hii aya ya pili mkwe
Hahaha...................uje na Kiko ili tuanze mazungumzo

Najua yule Mjukuu atakufaa sana

Unamwachia laki 2.5 anaibana bana mnatumia Mwezi mzima

Ukiongeza na Kipato chake, baada ya Mwaka mnafungua kiwanda cha kuuza Pikipiki kutoka China 🤗
 
Back
Top Bottom