Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Mkwe hata kama promo siyo hivi 😅Hahaha...................uje na Kiko ili tuanze mazungumzo
Najua yule Mjukuu atakufaa sana
Unamwachia laki 2.5 anaibana bana mnatumia Mwezi mzima
Ukiongeza na Kipato chake, baada ya Mwaka mnafungua kiwanda cha kuuza Pikipiki kutoka China 🤗