Angyelile99
Member
- Oct 9, 2023
- 89
- 164
Wewe unapendekeza wasomee Nini?Kutokana na uelewa mdogo wa taaluma mbali mbali.
Vijana wengi wanapo hitimu elimu ya sekondari haswa kwa kidato cha sita. hufikiria haswa kusoma masuala ya Udaktari. uwalimu. ama uwanasheria. hakuna cha ziada
Kama ungewaambia hicho cha ziada ni kitu gani ungewasaidia sana na ungebarikiwaVijana wengi wanapo hitimu elimu ya sekondari haswa kwa kidato cha sita. hufikiria haswa kusoma masuala ya Udaktari. uwalimu. ama uwanasheria. hakuna cha ziada
Ila pia ukoo unamatter.Wengi hupendelea kazi zinazofanywa na Watu wanaowazunguka
Binafsi nilizungukwa na Jeshi, kwahiyo nilitamani niwe Askari moja kwa moja
Lakini baada ya kufika A'level na kuona maisha ya Wahandisi hasa wale Jamaa aliosoma Telecommunication Engineering, nikajiapiza kufia darasani ili nikasome Engineering Chuo Kikuu
Kwasasa watoto wangu wote wanataka kusoma Engineering pia, kwanini? Wameona Taaluma ya mtu aliyewazunguka
Hahaha........... inawezekanaIla pia ukoo unamatter.
Katika ukoo wetu hatujui hesabu zile za Kengele A imegonga mara 2, B mara 3 haya tafuta density of the sun. So wengi posts ni uwinga, ubodaboda na wizi
Ualimu labda Kwa Mwanamke, Mwanaume labda mambo yakiwa yamegomaKuna mkoa wnaaupenda ualimu balaa mtu ana 1 o level na a level anaenda kusomea education in English and Kiswahili.
Nikamwambia hizo ningezipata mimi ningekua zangu kwa Ras Simba Headmaster
Labda ualimu wa zamani mkuu.Ualimu labda Kwa Mwanamke, Mwanaume labda mambo yakiwa yamegoma
Kwenye maisha ya Ndoa, ukioa Mwalimu basi utakuwa umelamba dume
Hao hawana mambo mengi, unaweza kumwachia hela ya Matumizi shilingi laki 4, baada ya Mwezi ukakuta amebakiza Salio la laki 1.5 kama Chenchi π€
Hahaha...........kwamba Walimu wa miaka hii wamebadirika?Labda ualimu wa zamani mkuu.
Hiki kizazi cha 2000 unadhani kinajali maadili ya ualimu?
Tuongee kuhusu hii aya ya pili mkweHahaha...........kwamba Walimu wa miaka hii wamebadirika?
Utaniharibia soko, nina Mjukuu wangu mmoja ni Mwalimu nategemea kumwozesha Mwaka huu π
Hahaha...................uje na Kiko ili tuanze mazungumzoTuongee kuhusu hii aya ya pili mkwe