Vijana wenye uwezo wa kutengeneza Control number ni bora wapewe ajira rasmi badala ya kuachwa mtaani

Vijana wenye uwezo wa kutengeneza Control number ni bora wapewe ajira rasmi badala ya kuachwa mtaani

tumesikia huko Arusha kuna mfumo wa control number umebainikanje ya huu wa kihalali,sasa hizi akili za ma genius watoto wa IT l, nashauri hawa wapewe ajira ni hatari sana kuwacha mtaani.
Bora wawe wanape2a kazi toka vyuoni huko
Unafuga SIMBA mla NYAMA alafu humpi NYAMA lazima atakutafuna TU kikubwa atakulia timing na kukuhesabia Siku
 
tumesikia huko Arusha kuna mfumo wa control number umebainikanje ya huu wa kihalali,sasa hizi akili za ma genius watoto wa IT l, nashauri hawa wapewe ajira ni hatari sana kuwacha mtaani.
Bora wawe wanape2a kazi toka vyuoni huko
Aisee, ulikuwa unakimbizana na nani!?
 
Tumesikia huko Arusha kuna mfumo wa control number umebainikaje ya huu wa kihalali, sasa hizi akili za ma genius watoto wa IT. Nashauri hawa wapewe ajira ni hatari sana kuwacha mtaani.

Bora wawe wanapewa kazi toka vyuoni huko
Arusha Ofisi gani mkuu control number zao zimebebana mbili mbili?
 
Mkuu wee acha tu tatizo sapport ni ndogo sana huku vyuoni..
Sasa na sisi tunacheza nao tuu.
Kwa sasa mambo yanafanyika ni ya hataree.

Hap waliokamatwa tunasema ni bado sana yaani waliacha footprint kizembe sana 😂😂😂😂

Ila mambo ni mengi sana aiseee
Yaani kuja kujua cycle nzima kweli walete wataalamu
 
Bank ziongezewe MAKOMEO
 
Kama wameweza kuchepusha hela na kuweka kwenye account isiyo ya serikali na watu wakaamini kama wamelipa kodi basi hao wamesoma kama wanaigeria
Au wamesaidiwa na Nigerians maana siku hizi wamejaa sana bongo
Kama ni wabongo peke yao daa basi kuna ma fraudsters
 
Hii ni matokeo ya kuwa na taifa lenye idadi kubwa ya vijana waliosoma bila ya kuwa na ajira.

Yale mambo ya nigeria yameenza huku bongo, tutaelewana tu.
 
Hii nchi ukipata nafasi ya kuiba, wewe iba tu. Mbona wakubwa wanaiba? Sasa kwa nini na wadogo nao wasiibe?
Tatizo wanaiba halafu wanakutwa nazo au wanajenga majumba tu
Kama yule mama mkurugenzi kaiba 2b kakaa nazo tu
Angefungua kiwanda Burundi na kuleta bidhaa bongo au sio
 
Back
Top Bottom