Vijana wenzangu mnaofanya application za vyuo kuweni makini na guidebook ya tcu

Jaman mimi mwaka jana nlipata hivi H=f G=f L=e GS=s "lakini nilivyo liseat mwaka huu nikapata hivi H=e G=c jamani ntapata chuo kweli au nisihangaike
 
Kwaiyo ukifanya app mwishoni itakuaje. Inamaa posibility ya kuchaguliwa inapungua au
 
Wabongo bwana... TCU CAS ipo well organized, tusipende kusema kusema tu angali inawezekana mwombaji hajasoma maelekezo vizuri akaanza kwa papara kujaza jaza tu eti kisa amefaulu hata kama kwa DIV I ya pointi tatu yenye c.o.p ya 15. Swali: Je ulimjazia kozi ngapi katika vyuo vingapi?
Jambo la kuelewa hapa ni kama ifuatavyo:

1. Waweza kuchagua si zaidi ya vyuo vitatu (3)
2. Huwezi kuchagua si chini ya vyuo viwili (2)
3. HUwezi kuchagua si zaidi ya kozi mbili (2) katika chuo kimoja.
4. Waweza kuchagua si zaidi ya kozi tano (5) iwe katika vyuo vitatu (3) au viwili (2) ambavyo umechagua kulingana na mchanganuo hapo juu!!


Je, wewe uchaguzi wako unafanana na maelekezo hapo juu?>
Tafakari, chukua hatua!! Maana inawezekana kubonyeza bonyeza buttons za keyboard ndo fani yako ndo maana ukaanza kwa kutoa illogic propositions eti una kijana wako hajui kutumia computer eti ukamsaidia....
 

Mkuu mbona hayo maelezo ya namba 1 na 2 sijayaona kwenye guide book .niambie yako page namba ngapi nirejee kucheki vizuri
 

Umetisha mkuu, bravo kwa ufafanuzi murua.
 
Naomba kujuzwa zaidi nili apply last week on Thursday sasa mpaka leo sioni hizo YES / NO
Je kuna tatizo kwenye application yangu

Ninachoona ni checking in progressing niki click no change
 
Naomba kujuzwa zaidi nili apply last week on Thursday sasa mpaka leo sioni hizo YES / NO
Je kuna tatizo kwenye application yangu

Ninachoona ni checking in progressing niki click no change
Kweli mkuu hata mimi kwangu bado ni checking in progress wadau tujuzeni kama tumekosea mahali
 
Hata mimi nashindwa kuelewa,ilakunamtu yuko mwaka wa kwanza MUHAS alisema nisubiri hadi tar ziishe za application.
 
wakuu naomba mnisaidie jambo moja,ilipoandikwa available slots ni kwamba ndo nafasi zilizobakia? nimeshindwa kuelewa kabisa
 
wakuu mm kwenye application yangu kila course imeandika not yet in process and checking in process ina kuaje hapo but nina point 10 EGM C C B+
 
wakuu mm kwenye application yangu kila course imeandika not yet in process and checking in process ina kuaje hapo but nina point 10 EGM C C B+

Kua mpole kijana muda wa kuanza kuchambuaa hizo applications zenu bado..hata za T.O zinaandika hvyo hvyo.
 

Toeni ushauri wakuu,mtu kamaliza PCM and amepata B,B,B.vp hapo UDSM panaingilika katika kozi zipi?
 
B,B,B za pcm,unaweza kuchaguliwa udsm? (point-9)
 
Toeni ushauri wakuu,mtu kamaliza PCM and amepata B,B,B.vp hapo UDSM panaingilika katika kozi zipi?

Nenda kachek tcu undergraduate admission guidebook.
Acha uvivu wa kijinga.
 
Duuuuu hayo mambo yana cost sana mwambieee ana riski sanaaaa.weng walijuta iseee
 
Nenda kachek tcu undergraduate admission guidebook.
Acha uvivu wa kijinga.

c kihivyo mkuu,usipende kuongea kwa kujiamini kama huna uhakika na ulisemalo,hiyo guidebook tumeicheki,ninachotaka kujua kama competition ni kubwa au vp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…