Vijana wenzangu mnaofanya application za vyuo kuweni makini na guidebook ya tcu

Vijana wenzangu mnaofanya application za vyuo kuweni makini na guidebook ya tcu

Jaman mimi mwaka jana nlipata hivi H=f G=f L=e GS=s "lakini nilivyo liseat mwaka huu nikapata hivi H=e G=c jamani ntapata chuo kweli au nisihangaike
 
Kwaiyo ukifanya app mwishoni itakuaje. Inamaa posibility ya kuchaguliwa inapungua au
 
Wabongo bwana... TCU CAS ipo well organized, tusipende kusema kusema tu angali inawezekana mwombaji hajasoma maelekezo vizuri akaanza kwa papara kujaza jaza tu eti kisa amefaulu hata kama kwa DIV I ya pointi tatu yenye c.o.p ya 15. Swali: Je ulimjazia kozi ngapi katika vyuo vingapi?
Jambo la kuelewa hapa ni kama ifuatavyo:

1. Waweza kuchagua si zaidi ya vyuo vitatu (3)
2. Huwezi kuchagua si chini ya vyuo viwili (2)
3. HUwezi kuchagua si zaidi ya kozi mbili (2) katika chuo kimoja.
4. Waweza kuchagua si zaidi ya kozi tano (5) iwe katika vyuo vitatu (3) au viwili (2) ambavyo umechagua kulingana na mchanganuo hapo juu!!

Je, wewe uchaguzi wako unafanana na maelekezo hapo juu?>
Tafakari, chukua hatua!! Maana inawezekana kubonyeza bonyeza buttons za keyboard ndo fani yako ndo maana ukaanza kwa kutoa illogic propositions eti una kijana wako hajui kutumia computer eti ukamsaidia....
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]
Code​
[/TD]
[TD="width: 19%"]
Description​
[/TD]
[TD="width: 20%"]
Institution​
[/TD]
[TD="width: 10%"]
Priority​
[/TD]
[TD="width: 16%"]
Selection Status​
[/TD]
[TD="width: 16%"]
Met Min Requirement​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]
UDD04​
[/TD]
[TD="width: 19%"]
Bachelor of Arts with Education​
[/TD]
[TD="width: 20%"]
Dar es Salaam University College of Education​
[/TD]
[TD="width: 10%"]
1​
[/TD]
[TD="width: 16%"]
Not yet processed​
[/TD]
[TD="width: 16%"]
NO​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]
DM058​
[/TD]
[TD="width: 19%"]
Bachelor of Arts with Education​
[/TD]
[TD="width: 20%"]
University of Dodoma​
[/TD]
[TD="width: 10%"]
2​
[/TD]
[TD="width: 16%"]
Not yet processed​
[/TD]
[TD="width: 16%"]
NO​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]
IU012​
[/TD]
[TD="width: 19%"]
Bachelor of Education (Arts)​
[/TD]
[TD="width: 20%"]
University of Iringa​
[/TD]
[TD="width: 10%"]
3​
[/TD]
[TD="width: 16%"]
Not yet processed​
[/TD]
[TD="width: 16%"]
YES​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]
SA005​
[/TD]
[TD="width: 19%"]
Bachelor of Arts with Education​
[/TD]
[TD="width: 20%"]
St. Augustine University of Tanzania​
[/TD]
[TD="width: 10%"]
4​
[/TD]
[TD="width: 16%"]
Not yet processed​
[/TD]
[TD="width: 16%"]
NO​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]
UDM04​
[/TD]
[TD="width: 19%"]
Bachelor of Arts with Education​
[/TD]
[TD="width: 20%"]
Mkwawa University College of Education​
[/TD]
[TD="width: 10%"]
5​
[/TD]
[TD="width: 16%"]
Not yet processed​
[/TD]
[TD="width: 16%"]
NO​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

mtazameni huyu kijana ni mtu ninayemfahamu wakati anafanya selection tulikuwa wote kumsaidia sababu yeye hajui kutumia computer vizuri, nikamshauri mwisho tukachagua vyuo ambavyo vina cutting points kulingana na ufaulu wake, sasa leo nimeamua kuingia ili kuangalia kama kama ile checking progress itakuwa imekamilika ile kuingia ndio nimekutana na haya maajabu kijana kabadili courses zote alizoomba mwanzo. nimemuuliza kulikoni amesema aliamua kubadili baada ya kuambiwa cutting points huwa hazizingatiwi sana ndio maana ameamua kuchagua vyuo ambavyo hana vigezo navyo

vijana wenzangu wakati mnafanya selections zingatieni mambo mbalimbali yaliyomo kwenye guidebook ya TCU kama vile cutting points, admission capacity ambayo itakufanya uwe na uhakika kama utapata au lah kulingana na idadi iliyowekwa, tution fee hii itakusaidia kujua kama hiyo ada ni reasonable kwako mfano unaweza jipima kama ada ni 1700000 na uwezekano wa serikali kukupa mkopo ni hadi 900000 hivyo itabaki 800000 ni suala dogo la kujiuliza tu je hii iliyobaki ninaweza jitwika kama hauwezi jaribu kutafuta vyuo vyengine vyenye ada ya kawaida kidogo
 
Mkuu mbona hayo maelezo ya namba 1 na 2 sijayaona kwenye guide book .niambie yako page namba ngapi nirejee kucheki vizuri
 
Ikiandika YES ina maana kuwa una sifa zote za hicho chuo,ila sio kwamba ndio umeshachaguliwa..Ushindani ndio utaamua.Jaribu kuangalia ni jumla ya watu wangapi wapo eligible,wangapi wamechagua kama first choice na. maximum carrying capacity

Omba Mungu hadi deadline,waliochagua first choice wawe wachache kuliko capacity,ukiona hivyo tanguliza mabegi kabisa

Umetisha mkuu, bravo kwa ufafanuzi murua.
 
Naomba kujuzwa zaidi nili apply last week on Thursday sasa mpaka leo sioni hizo YES / NO
Je kuna tatizo kwenye application yangu

Ninachoona ni checking in progressing niki click no change
 
Naomba kujuzwa zaidi nili apply last week on Thursday sasa mpaka leo sioni hizo YES / NO
Je kuna tatizo kwenye application yangu

Ninachoona ni checking in progressing niki click no change
Kweli mkuu hata mimi kwangu bado ni checking in progress wadau tujuzeni kama tumekosea mahali
 
Hata mimi nashindwa kuelewa,ilakunamtu yuko mwaka wa kwanza MUHAS alisema nisubiri hadi tar ziishe za application.
 
wakuu naomba mnisaidie jambo moja,ilipoandikwa available slots ni kwamba ndo nafasi zilizobakia? nimeshindwa kuelewa kabisa
 
wakuu mm kwenye application yangu kila course imeandika not yet in process and checking in process ina kuaje hapo but nina point 10 EGM C C B+
 
wakuu mm kwenye application yangu kila course imeandika not yet in process and checking in process ina kuaje hapo but nina point 10 EGM C C B+

Kua mpole kijana muda wa kuanza kuchambuaa hizo applications zenu bado..hata za T.O zinaandika hvyo hvyo.
 
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="width: 12%"]
Code​
[/TD]
[TD="width: 19%"]
Description​
[/TD]
[TD="width: 20%"]
Institution​
[/TD]
[TD="width: 10%"]
Priority​
[/TD]
[TD="width: 16%"]
Selection Status​
[/TD]
[TD="width: 16%"]
Met Min Requirement​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="width: 12%"]
UDD04​
[/TD]
[TD="width: 19%"]
Bachelor of Arts with Education​
[/TD]
[TD="width: 20%"]
Dar es Salaam University College of Education​
[/TD]
[TD="width: 10%"]
1​
[/TD]
[TD="width: 16%"]
Not yet processed​
[/TD]
[TD="width: 16%"]
NO​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="width: 12%"]
DM058​
[/TD]
[TD="width: 19%"]
Bachelor of Arts with Education​
[/TD]
[TD="width: 20%"]
University of Dodoma​
[/TD]
[TD="width: 10%"]
2​
[/TD]
[TD="width: 16%"]
Not yet processed​
[/TD]
[TD="width: 16%"]
NO​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="width: 12%"]
IU012​
[/TD]
[TD="width: 19%"]
Bachelor of Education (Arts)​
[/TD]
[TD="width: 20%"]
University of Iringa​
[/TD]
[TD="width: 10%"]
3​
[/TD]
[TD="width: 16%"]
Not yet processed​
[/TD]
[TD="width: 16%"]
YES​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="width: 12%"]
SA005​
[/TD]
[TD="width: 19%"]
Bachelor of Arts with Education​
[/TD]
[TD="width: 20%"]
St. Augustine University of Tanzania​
[/TD]
[TD="width: 10%"]
4​
[/TD]
[TD="width: 16%"]
Not yet processed​
[/TD]
[TD="width: 16%"]
NO​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="width: 12%"]
UDM04​
[/TD]
[TD="width: 19%"]
Bachelor of Arts with Education​
[/TD]
[TD="width: 20%"]
Mkwawa University College of Education​
[/TD]
[TD="width: 10%"]
5​
[/TD]
[TD="width: 16%"]
Not yet processed​
[/TD]
[TD="width: 16%"]
NO​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

mtazameni huyu kijana ni mtu ninayemfahamu wakati anafanya selection tulikuwa wote kumsaidia sababu yeye hajui kutumia computer vizuri, nikamshauri mwisho tukachagua vyuo ambavyo vina cutting points kulingana na ufaulu wake, sasa leo nimeamua kuingia ili kuangalia kama kama ile checking progress itakuwa imekamilika ile kuingia ndio nimekutana na haya maajabu kijana kabadili courses zote alizoomba mwanzo. nimemuuliza kulikoni amesema aliamua kubadili baada ya kuambiwa cutting points huwa hazizingatiwi sana ndio maana ameamua kuchagua vyuo ambavyo hana vigezo navyo

vijana wenzangu wakati mnafanya selections zingatieni mambo mbalimbali yaliyomo kwenye guidebook ya TCU kama vile cutting points, admission capacity ambayo itakufanya uwe na uhakika kama utapata au lah kulingana na idadi iliyowekwa, tution fee hii itakusaidia kujua kama hiyo ada ni reasonable kwako mfano unaweza jipima kama ada ni 1700000 na uwezekano wa serikali kukupa mkopo ni hadi 900000 hivyo itabaki 800000 ni suala dogo la kujiuliza tu je hii iliyobaki ninaweza jitwika kama hauwezi jaribu kutafuta vyuo vyengine vyenye ada ya kawaida kidogo

Toeni ushauri wakuu,mtu kamaliza PCM and amepata B,B,B.vp hapo UDSM panaingilika katika kozi zipi?
 
B,B,B za pcm,unaweza kuchaguliwa udsm? (point-9)
 
Duuuuu hayo mambo yana cost sana mwambieee ana riski sanaaaa.weng walijuta iseee
 
Nenda kachek tcu undergraduate admission guidebook.
Acha uvivu wa kijinga.

c kihivyo mkuu,usipende kuongea kwa kujiamini kama huna uhakika na ulisemalo,hiyo guidebook tumeicheki,ninachotaka kujua kama competition ni kubwa au vp
 
Back
Top Bottom