Vijana wenzangu tuache punyeto ni hatari

Vijana wenzangu tuache punyeto ni hatari

Amos David Mathias

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2022
Posts
1,576
Reaction score
3,094
Habari za mchana vijana wenzangu,

Nikiwa kama kijana mwenzenu nimeamua kuongea na vijana wenzangu wa umri wa miaka 14-25, kwenye kundi hili wengi hujiingiza kwa suala la punyeto au kujichua kwa sababu mbalimbali kama zifuatazo;

1. Kujiburudisha wao binafsi.
2. wengi wanawakuwa mashuleni wanaona bora wajiigize kwenye kujichua kuliko kudeal na wasichana (mademu).

Mwisho wa siku wengi wanakuwa very addicted na hii kitu na kuona jambo la kawaida. Vijana wenzangu mimi ni waambie kitu kimoja, unapofika umri wa 20 above wengi uwa chuoni, kazini na hivyo upatikanaji wa wasichana ni kama kumsukuma mlevi.

Ila shida inakuja hii punyeto ulioanza zaidi ya miaka 5 iliyopita inaanza kuonyesha madhara yake kama ifuatavyo;

1. Uume kushindwa kusimama na ukisimama unalegea.
2. Kukosa humu ya wanawake na ukiamua kuwa nao hakuna unachofanya.

Mwisho naomba nioongee haya;

1. Wakuu punyeto ina madhara, najua wengi wanaitetea ila sisi wahanga wa hili suala tunalijua kama sio ya mwili (physical) basi ya kiakili (psychological) na kama haujaona sasa subiri yanakuja.

2. Matatizo ya wanawake kutoshika mimba na nguvu za kiume hayataisha, chanzo kikubwa ni hii punyeto.

Mimi nimeacha, nipo kupambana kurudi hali ya kawaida. Nakushauri acha kijana mwenzangu, wanawake wengi wapo, utaishia kuwaangalia hapo mbeleni.

fb_card_pages_shortlist_com_1500037792_725x725.jpg
girl_computer_worried_thinking_laptop-732x549-thumbnail-732x549.jpg
 

Attachments

  • 1_Young-man-sit-in-bed-early-morning-He-hold-hand-under-white-blanket-and-masturbating-Laptop-...jpg
    1_Young-man-sit-in-bed-early-morning-He-hold-hand-under-white-blanket-and-masturbating-Laptop-...jpg
    57.5 KB · Views: 18
Bora madhara hayo kidogo
Ili uache unatakiwa upate mbadala wake
Na huo mbadala jiandae kupata Super gono, UTI sugu, baba lao ukimwi na kupoteza kiasi kikubwa Cha pesa.
Utetezi wa hovyo sana
 
Njia bora ni kuacha vyote kabisa mpk ndoa. Sio punyeto sio mademu. Lasivo utaacha punyeto ila utatokwa na pesa mpk upagawe eidha kwa kuhonga au kwa kujitibu maradhi ya ngono kama uti, gono, kaswende, ukimwi nk bila kusahau kuhangaika na madawa ya pep pale ambapo utapalamia malaya ndomu ikapasuka
 
Chochote ufanyacho kupita kiasi kina madhara.

Punyeto haina madhara yoyote makubwa kama inavyoelezwa, kisayansi hakuna hayo maelezo unayoyasemea, unless mtu ajiharibu mwenyewe kisaikolojia.

Masturbation haisababishi mtu kuishiwa nguvu za kiume wala kukosa kuzalisha.
 
Epuka sana kutazama mavideo ya instagram na youtube. Epuka sites za ngono, akili yako iwekeze ktk mengine, lipokuja suala la ngono, usiipe akili yako hata dakika 5 kufikiria sex, ukifikiria hapo utalazimika kutazama sites za porn, na hapo ndipo unapoangamia.
 
Njia bora ni kuacha vyote kabisa mpk ndoa. Sio punyeto sio mademu. Lasivo utaacha punyeto ila utatokwa na pesa mpk upagawe eidha kwa kuhonga au kwa kujitibu maradhi ya ngono kama uti, gono, kaswende, ukimwi nk bila kusahau kuhangaika na madawa ya pep pale ambapo utapalamia malaya ndomu ikapasuka
Ngono ina gharimu sana adse

Kupata faithful partner ni jambo muhimu sana sema ndo haiwezekani kwa sasa

Tuna mtiani sana vijana ....coz kuacha kabisa ngono ni jambo ambalo haliwezekani hasa ukishafika umri wa kubalehe

Punyeto ni mbaya sana sishauri mtu kufanya

Bora ufanye ngono salama ... kwa kutumia condom kwa usahihi lakini kusema kuacha vyote ni haiwezekani mkuu

Nashauri Ngono salama
 
Sisi tunachojua hii ipo salama asilimia 100
Alaf pia tunajua kuwa lengo kuu la kufanya mapenzi(tendo la ndoa) ni kupata mtoto sasa hizo sababu cjui za kuridhisha mtoto wa mtu sie hayatuhusu
Vijana msiache punyeto soon tunaleta tuzo called "NYETO D'OR"
 
Ukiacha kuangalia porno , utaacha masterbation automatically
Sikuungi mkono katika hili maana punyeto wengine wameanza hata hizo tv wala simu janja hazipo.

Wonderful enough kuna watu hawajafundishwa ni kama mtoto mchanga kujua hapa nitite hapa ninyonye.
 
Bora madhara hayo kidogo
Ili uache unatakiwa upate mbadala wake
Na huo mbadala jiandae kupata Super gono, UTI sugu, baba lao ukimwi na kupoteza kiasi kikubwa Cha pesa.
Mkuu unaweza kupotesa mpaka sh ngapi kwa kupata mbadala wa punyeto
 
Wewe huna tu nguvu za kiume, tafuta solution... Watu wamepiga nyeto miaka zaidi ya 20 na wakikutana na mwanamke wanapiga show za kibabe round ndefu na mwanamke analidhika...
Vijana niwaambie tu nyeto haisababish upungufu wa nguvu za kiume, tatizo wengi wenu mnashida ya kisaikolojia tu... Na ukitaka ulishinde hilo tatzo jutibu wew mwenyew kisaikolojia, maana hakuna hospital au mtu atakaye kupa nguvu za kiume...
 
Afu hiyo nyeto ya kis*ng** unaweza ukawa umeacha Umri wote kuanzia barehe unakuja kujifunzia uzeeni kuanzia 25 kwenda uko hila mm nmashukuru Mungu sijawa addicted na haya madude japo ni one for the lord

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom