Vijana wetu wanafanya nini vyio vikuu ???

Mkuu rombo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
1,556
Reaction score
422
Aiseeee babayangu ni jambo la kuchekesha kama si kusikitisha, kijana wa nyumba ya jirani yetu hapa mkuu rombo amepata nafasi ya kufika chuo kimoja wapo kikuu ( jina nlifadhi kwa heshima) hapa tanzania.
Alirudi kusherekea chrisimac na mwaka mpya hapa kijiji rombo katika harakati za kuongea nae na kunionyesha jinsi wanavyosoma vyio vikuu kwa rahaa nikabaitika kuona test zake, cha kushangaza na kusikitisha moja ya test zake zenye alama za chini msahishaji alimwandikia kwa herufi kubwa Improve ur english nilishangaa sana na kujiuliza maswali mengi sana kichwani
wakuu mliopata bahati ya kusoma vyio vikuu hawa vijana wetu wanafanya nini mavioni
si bora waje huku mkuu rombo wanisaidie kilimo cha jembe la mkono
nawasilisha kwa masikitiko makubwa
 
aiseeeee babayangu fafanua zaidi mkuu

english mtu hawezi kujifunza chuoni kama msingi wake ni mbovu! Mlikubali form 4 failures ndo wawafundishe watoto wenu haya ndo madhara yake. Ni afadhali ukutane na mwalimu wa UPE kuliko hawa wasomi wa siku hizi. Yaani mfumo mzima wa elimu ya tz unahitaji kuangaliwa upya lakini kwa kuwa mulugo yupo haitawezekana kutoa pendekezo kama hilo.
 
sio mavioni ni vyuoni, na nyuoni hawafundishi lugha na pia naona kuna chembe za wivu hapa. arudi afanye kilimo cha jembe la mkono mvua zenyewe hazipo,vocha na pembejeo za kilimo unafuatilia zaidi ya miezi mitano.
 
Aiseeee babayangu ni jambo la kuchekesha kama si kusikitisha, kijana wa nyumba ya jirani yetu hapa mkuu rombo amepata nafasi ya kufika chuo kimoja wapo kikuu ( jina nlifadhi kwa heshima) hapa tanzania.
Alirudi kusherekea chrisimac na mwaka mpya hapa kijiji rombo katika harakati za kuongea nae na kunionyesha jinsi wanavyosoma vyio vikuu kwa rahaa nikabaitika kuona test zake, cha kushangaza na kusikitisha moja ya test zake zenye alama za chini msahishaji alimwandikia kwa herufi kubwa Improve ur english nilishangaa sana na kujiuliza maswali mengi sana kichwani
wakuu mliopata bahati ya kusoma vyio vikuu hawa vijana wetu wanafanya nini mavioni
si bora waje huku mkuu rombo wanisaidie kilimo cha jembe la mkono
nawasilisha kwa masikitiko makubwa

kama ni vyuoni najua wanasoma ila kwa 'vyioni' bado hata mimi sijajua mkuu
 
ungeanza wewe kuandika VYUO badala ya VYIO afu ndo ushangae babaangu
 
Tanzania Kiingereza ni tatizo kutoka kwa mkulima mpaka kwa rais. While I acknowledge the need to improve his english, I am also looking at this in a national context.

Mtu kakulia mkoa huko, watu hata Kiswahili kwa tabu, wanaongea sana kilugha, akija mjini kwanza aanze kujifunza kiswahili vizuri (Mpaka leo Dr. Slaa - mtu ambaye angeweza na anaweza kuwa rais wetu- hajui Kiswahili vizuri, no dis intended, just to put this in context).

Halafu unaniambia unataka kutegemea kijana wa kutoka mkoa ajue Kiingereza sawia mara moja tu?

Mimi na kundi langu tulivyokuwa sekondari tulionekana mabishoo kwa kutaka kuongea Kiingereeza hata nje ya mazingira ya shule (O.K, Hip Hop na Umarekani vilichangia) ukichanganya na kusoma vitabu Tanganyika Library, British Council, American Library, CNN (CTN) Yo MTV Rap tapes, Newsweek, Ebony etc tukajikuta tunaongeza vocab na uwezo wa kuongea/ kuandika kiingereza. Lakini vijana wa mkoa wangapi wana access na vyote hivi?

Tusaidiane tu hivyo hivyo. I know some very sharp kids with English problems. It's not because they are not smart or are not trying enough. It is because Swahili is so powerful in our country.

Like anything, perfecting English requires practice. And the ubiquitous Swahili makes that difficult.
 
Elimu sio kiingereza hiyo ni lugha tu. Tumeona wachina wengi ni mainjinia lakini hawajui kiingereza.je hiyo sio elimu?
 
Shule za kata zimekuwa nyingi na elimu imekuwa ya kimagumashi, we emagine eti mtu mwenye div 3 anaenda chuo kikuu plus na mkopo, sisi enzi zetu kwa waliosoma arts huna div one wewe jiande kwenda diploma na kwa waliosoma science hauna div one au two nenda diploma
 
Hacha ujinga wewe mchaga. Mtu anaweza kuwa ana akili nyingi zaid ya unavyodhani. Kiingereza so ishara ya usomi. Usomi ni maarifa na akili alizo nqzo mtu juu ya mambo aliyo somea. Mbona wewe unashindwa kuandika "vyuo" una andika "vyio" wakati ni lugha yako????!!!!! Na wewe improve ur kiswahili
 
ckuiz wanaend kupga2 misele kule na harakat za kusaka mad***/mam**...
Nchi ishauzwa,elimu kapun!
 
Aiseeee babayangu ni jambo la kuchekesha kama si kusikitisha, kijana wa nyumba ya jirani yetu hapa mkuu rombo amepata nafasi ya kufika chuo kimoja wapo kikuu ( jina nlifadhi kwa heshima) hapa tanzania.
Alirudi kusherekea chrisimac na mwaka mpya hapa kijiji rombo katika harakati za kuongea nae na kunionyesha jinsi wanavyosoma vyio vikuu kwa rahaa nikabaitika kuona test zake, cha kushangaza na kusikitisha moja ya test zake zenye alama za chini msahishaji alimwandikia kwa herufi kubwa Improve ur english nilishangaa sana na kujiuliza maswali mengi sana kichwani
wakuu mliopata bahati ya kusoma vyio vikuu hawa vijana wetu wanafanya nini mavioni
si bora waje huku mkuu rombo wanisaidie kilimo cha jembe la mkono
nawasilisha kwa masikitiko makubwa

Hizo bold naamini sio utani, pia naamini kwa kuwa chuo hakuna kujisomea zaidi ya kuelewa kwa sana, nashindwa kuamini kama ni kweli uliona test au unataka Watz waamini elimu ya chuo haina jipya
 
Kingereza c kitu ni lugha tu,je vijana wanauwezo kiasi gani katika kujua wanayofundishwa?kingereza c lazima kukijua ila ni muhumu baba!!!
 
nani amekwambia vyuoni wanafundisha english? na ulitaka aambiwe 'excelent english' halafu test ana zero,atakuwa anasoma lugha au hiyo course yake? tatizo sio chuo bali ni msingi mbovu tulio nao
 
Tanzania Kiingereza ni tatizo kutoka kwa mkulima mpaka kwa rais. While I acknowledge the need to improve his english, I am also looking at this in a national context.

Mtu kakulia mkoa huko, watu hata Kiswahili kwa tabu, wanaongea sana kilugha, akija mjini kwanza aanze kujifunza kiswahili vizuri (Mpaka leo Dr. Slaa - mtu ambaye angeweza na anaweza kuwa rais wetu- hajui Kiswahili vizuri, no dis intended, just to put this in context).

Halafu unaniambia unataka kutegemea kijana wa kutoka mkoa ajue Kiingereza sawia mara moja tu?

Mimi na kundi langu tulivyokuwa sekondari tulionekana mabishoo kwa kutaka kuongea Kiingereeza hata nje ya mazingira ya shule (O.K, Hip Hop na Umarekani vilichangia) ukichanganya na kusoma vitabu Tanganyika Library, British Council, American Library, CNN (CTN) Yo MTV Rap tapes, Newsweek, Ebony etc tukajikuta tunaongeza vocab na uwezo wa kuongea/ kuandika kiingereza. Lakini vijana wa mkoa wangapi wana access na vyote hivi?

Tusaidiane tu hivyo hivyo. I know some very sharp kids with English problems. It's not because they are not smart or are not trying enough. It is because Swahili is so powerful in our country.

Like anything, perfecting English requires practice. And the ubiquitous Swahili makes that difficult.
hapo kwenye red ndio kuna POINT!!!!! mengine hayo ni ziada tu!
 
Aiseeee babayangu ni jambo la kuchekesha kama si kusikitisha, kijana wa nyumba ya jirani yetu hapa mkuu rombo amepata nafasi ya kufika chuo kimoja wapo kikuu ( jina nlifadhi kwa heshima) hapa tanzania.
Alirudi kusherekea chrisimac na mwaka mpya hapa kijiji rombo katika harakati za kuongea nae na kunionyesha jinsi wanavyosoma vyio vikuu kwa rahaa nikabaitika kuona test zake, cha kushangaza na kusikitisha moja ya test zake zenye alama za chini msahishaji alimwandikia kwa herufi kubwa Improve ur english nilishangaa sana na kujiuliza maswali mengi sana kichwani
wakuu mliopata bahati ya kusoma vyio vikuu hawa vijana wetu wanafanya nini mavioni
si bora waje huku mkuu rombo wanisaidie kilimo cha jembe la mkono
nawasilisha kwa masikitiko makubwa
na wewe UDSM hukufundishwa kuongea na kuandika hata kiswahili!!! 'vyioni' ni mdudu gani???
 
Back
Top Bottom