Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Wengi mlishuhudia mhemko wa mwili katika umri wa balehe. Sasa fikiria mhemko huo utokee na nyumbani kuna matatizo.
1. Baba ni mlevi na hana muda na familia
2. Mama hana msaada anawalea kama mzazi pekee. Anadaiwa vikoba na mwenyenyumba amechoka visingizio vya kutolipa kodi
3. Shuleni hupati marks nzuri huelewi ni kwanini kumbe wewe ni dyslexia
Na matatizo mengine ya kuufahamu mwili wako pamoja na mazingira yanayokuzunguka huchangia kupata matatizo ya akili.
Vijana tuwape ushirikiano wakiingia katika mapenzi kwa mara ya kwanza. Wamependa au wako kwenye pressure?
Unajisikia mnyonge na uliyekosa furaha? Unahitaji mtu wa kuongea nae?
Kuna wakati ulishayafikiria maisha yako hayana maana?
Tukiwa karibu na vijana wetu tutawasaidia mengi.