Vijana wetu wanakosa msaada na ushauri katika makuzi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Wengi mlishuhudia mhemko wa mwili katika umri wa balehe. Sasa fikiria mhemko huo utokee na nyumbani kuna matatizo.
1. Baba ni mlevi na hana muda na familia
2. Mama hana msaada anawalea kama mzazi pekee. Anadaiwa vikoba na mwenyenyumba amechoka visingizio vya kutolipa kodi
3. Shuleni hupati marks nzuri huelewi ni kwanini kumbe wewe ni dyslexia

Na matatizo mengine ya kuufahamu mwili wako pamoja na mazingira yanayokuzunguka huchangia kupata matatizo ya akili.

Vijana tuwape ushirikiano wakiingia katika mapenzi kwa mara ya kwanza. Wamependa au wako kwenye pressure?

Unajisikia mnyonge na uliyekosa furaha? Unahitaji mtu wa kuongea nae?

Kuna wakati ulishayafikiria maisha yako hayana maana?

Tukiwa karibu na vijana wetu tutawasaidia mengi.
 
Hii ni kweli kabisa hasa kwa kipindi hichi ambapo wazazi wengi wanamsingizia utandawaz anaharibu watoto wao,wazazi wanashindwa kufikisha ukweli kwa watoto,na watoto wanautafuta ukweli kwa kuwaficha wazazi dah......
 
Wengi mlishuhudia mhemko wa mwili katika umri wa balehe. Sasa fikiria mhemko huo utokee na nyumbani kuna matatizo.
1. Baba ni mlevi na hana muda na familia
2. Mama hana msaada anawalea kama mzazi pekee. Anadaiwa vikoba na mwenyenyumba amechoka visingizio vya kutolipa kodi
3. Shuleni hupati marks nzuri huelewi ni kwanini kumbe una dyslexia

Na matatizo mengine ya kuufahamu mwili wako pamoja na mazingira yanayokuzunguka huchangia kupata matatizo ya akili.

Vijana tuwape ushirikiano wakiingia katika mapenzi kwa mara ya kwanza. Wamependa au wako kwenye pressure?

Unajisikia mnyonge na uliyekosa furaha? Unahitaji mtu wa kuongea nae?

Kuna wakati ulishayafikiria maisha yako hayana maana?

Tukiwa karibu na vijana wetu tutawasaidia mengi.
Wazazi wakiwa busy na mambo yao bila kuwaangalia watoto basi watatengeneza makahaba/mashoga/wazee wa kubet/wadangaji/wezi/vibaka /madereva wa bodaboda na bajaji mitaani.
 
Hili tatizo ni kubwa kuliko tunavyolifikiria. Njia mojawapo ya kukabiliana nalo ni kuandaa makongamano ya vijana iwe mashuleni au kwenye nyumba za ibada na kiluwakaribisha wana saikolojia kuongea nao.
 
Wazazi wakiwa busy na mambo yao bila kuwaangalia watoto basi watatengeneza makahaba/mashoga/wazee wa kubet/wadangaji/wezi/vibaka /madereva wa bodaboda na bajaji mitaani.
Pointless , acha dharau za kijinga.mbona Mimi ni boda boda ila nimetokea familia nzuri yenye wazazi bora. Usione ukadhani ndugu yangu.

Sent from my W5 using JamiiForums mobile app
 
Bodaboda wengi ni zero brain wewe,tunawadharau kwasababu wao wenye wanajidharau,bodaboda akili zao wote sawa tu MABASHITE,wewe uliona wapi wanaovertake kushoto? Sasa bodaboda wote wanaoveratake kushoto,pili akishapita hasogei mbele ndio akae sawa yeye akishaona bodi imepita anaingia tu hovyo hovyo,tatu hata akiwa anaenda kupaki kijiweni yeye ni spidi 100 hadi 120 aangalii yeye ni mibio tu mda wote!!!! Bodaboda wengi ni failures shuleless,bodaboda wengi waganga njaa,wamechukua pikipiki kwa mkataba au anapeleka buku 7 kwa siku etc
 
Huku kwenye shule za bweni tutakabiliana vipi na hili tatizo?
Nashauri kusiwe na shule za boiz na galz bali kuwe na mchanganyiko tu, kwasababu mashoga na wasagaji wanatoka kati ya hizo shule nilizoainisha. Jambo lingine ni kwamba kuna wasagaji wengi sana kuliko mashoga, sababu ni kwamba wanawake wanaona ni kawaida kufanyiana hivyo, nitatoa mfano ni ngumu kwa wanaume kushikana makalio ila wasichana wanaona kawaida kushika sehemu yoyote ya mwili mpaka wanafikia hatua wanakisi hivyo inapelekea kuingia kwenye usagaji kwa urahisi.
 
Nilisoma shule za single sex, wakati huo hatukuwa na vituko au labdawnilikuwa mshamba sana kuyajua. Any way wana saikolojia wanahimiza mapenzi ya opposite sex yaanzie nyumbani yani mama kwa mvulana na baba kwa binti. Hii inasaidia watoto ku balance na ku weza kubeba hata rejections wakiwa wakubwa.

Same sex schools hutoa changamoto hata la kujipenda. Mkaka anajipenda kumbe ana crush na binti mmoja darasani na wa dada hivyo hivyo.
 
I like you

I like you, baba lazima aonyeshe mapenzi kwa binti zake ili wasizuzuke na mapenzi ya boi frends vilevile kwa mama
 
Back
Top Bottom