Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
WanaJF,
Safarini Tunisia kupambana na Libya.
Msimamo wa makundi hadi sasa.
Safarini Tunisia kupambana na Libya.
Msimamo wa makundi hadi sasa.
Last edited:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo game tuna advantage ya kuondoka na point1 au zote maana hata libya pia hawana home advantage wote si tupo ugeniniUzi ungekuwa wanaenda leo Tunisia kucheza na Libya sio wanaenda libya
Nami naona hivi ,neutral group kila MTU ana advantage hapoHiyo game tuna advantage ya kuondoka na point1 au zote maana hata libya pia hawana home advantage wote si tupo ugenini
Kwa Tunisia, mnapigwa nje ndani.Hili kundi tunaweza kutoboa,naona threat ni Tunisia tu,ambaye hapa nyumbani tunaweza kuokota point/points
Siyo lazima itokee ivyo,hata Morocco aliwahi kufa 3 taifaKwa Tunisia, mnapigwa nje ndani.
Haya, baada ya mechi utaniambia.Siyo lazima itokee ivyo,hata Morocco aliwahi kufa 3 taifa
Maneno yako sio sheria.. soka haliko hivyoKwa Tunisia, mnapigwa nje ndani.
Usikariri mkuu Hao Tunisia wenyewe viwete tu wamemkuta LibyaKwa Tunisia, mnapigwa nje ndani.
Kwan ww una uraia wa wapi nduguHaya, baada ya mechi utaniambia.
Kila la kheri Taifa Stars
Game inachezewe nchi gani kwanjHiyo game tuna advantage ya kuondoka na point1 au zote maana hata libya pia hawana home advantage wote si tupo ugenini
So hata Tunisia tumchape hapa kwetu?Tushinde game zetu zote za nyumbani alafu tutafute droo japo 2.
libyaKwan ww una uraia wa wapi ndugu
uwanja wa Stade Mustapha Ben Jannet (ملعب مصطفى بن جنات) ndani ya mji wa Monastir nchiniTunisiaGame inachezewe nchi gani kwanj