Vijana wetu wanaondoka leo kwenda Libya

Uzi ungekuwa wanaenda leo Tunisia kucheza na Libya sio wanaenda libya
 
Hili kundi tunaweza kutoboa,naona threat ni Tunisia tu,ambaye hapa nyumbani tunaweza kuokota point/points
 
Kwa Tunisia, mnapigwa nje ndani.
Usikariri mkuu Hao Tunisia wenyewe viwete tu wamemkuta Libya
Usione waarabu ukatishika hawana kitu cha ziada kwao Wanaweza kutufunga Ila hapa mnakula sahani Moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…