Vijana wetu wanaondoka leo kwenda Libya

Nlishaacha kushabikia tim linalofungwa fungwa hovyo, mwishoe nitapata presha bure! Nipo Algeria ndio timu nayoishabikia kwa sasa haya majamaa huwa hayaniangushi...juzi hapa kanipigia zambia goli 5 mammae! Mtanisamehe Bandugu!
 
Mpira unamatokeo yake ukijipanga vizuri na ukimsoma mpinzani vizuri, Kenya wameokota point moja Egypt wewe ungekuwa unabet ungempa nafasi Kenya?
Vipi kiongozi,hivi timu mbili za kwanza kushinda ndio moja kwa moja Afcon? Au kuna mchujo tena
 
Naona Misri hawana timu kipindi hiki wallah,dakika 90 sasa hivi wapo ugenini na Comoros bila bila.
 
Naomben link yakucheki Mpira wa Taifa stars na libya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…