Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jumanne saa nne usikuKwani hii mechi inachezwa link mkuu
mpira ni mahesabu advantage tunayo sana hasa ukizingatia kila kundi zinapita timu mbiliNami naona hivi ,neutral group kila MTU ana advantage hapo
Sahau kuokota point kwa Tunisia...Hili kundi tunaweza kutoboa,naona threat ni Tunisia tu,ambaye hapa nyumbani tunaweza kuokota point/points
Mpira unamatokeo yake ukijipanga vizuri na ukimsoma mpinzani vizuri, Kenya wameokota point moja Egypt wewe ungekuwa unabet ungempa nafasi Kenya?Sahau kuokota point kwa Tunisia...
Vipi kiongozi,hivi timu mbili za kwanza kushinda ndio moja kwa moja Afcon? Au kuna mchujo tenaMpira unamatokeo yake ukijipanga vizuri na ukimsoma mpinzani vizuri, Kenya wameokota point moja Egypt wewe ungekuwa unabet ungempa nafasi Kenya?
Wakwanza na wa pili wanafuzu direct,zamani ilikuwa wakwanza tu kwenye kundi,nawengine kupigania mshindwa bora (best loser)Vipi kiongozi,hivi timu mbili za kwanza kushinda ndio moja kwa moja Afcon? Au kuna mchujo tena
Naona Misri hawana timu kipindi hiki wallah,dakika 90 sasa hivi wapo ugenini na Comoros bila bila.
Warabu watamsaidia mwenzaoHiyo game tuna advantage ya kuondoka na point1 au zote maana hata libya pia hawana home advantage wote si tupo ugenini
Ni mwaka wa kulipa kisasi huu. Tumechoka lzm wakaeWADAU MSIWAONE LIBYA WAMEFUNGWA NA TUNISIA,MKAWABEZA!!!
LIBYA NI WANYAMA,TUKIREMBA TUNAWEZA TUKALA KICHAPO CHA KUTOSHA TU
ngoja tuone ila hatuna sababu ya kuhofia uwezo tunaoWarabu watamsaidia mwenzao
Naomben link yakucheki Mpira wa Taifa stars na libya.
Eti eeeeeh!Ni mwaka wa kulipa kisasi huu. Tumechoka lzm wakae