Vijanaa,wanaume walaa veveee...

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,443
Reaction score
3,002
niaje wadau wakuu humu ndani,naombaa nisiwachoshee...cse siwalipi,amnilipi!!:focus::lol:kunakundi kubwaa la vijanaa,hasaa ARUSHA,moshii,pwanii ya tangaa,wanakulaa mirungii sanaaa,kwautafiti wangu vijana wa arusha wamedumaa na kuwa matejaa wa mirungii,mtu anafanya kazi ngumu lakini daily anaspendi 5000 adi 7000 kwenye mirungi,nisingependa kuongelea hilo la matumizii ya pesa zao,kikubwaa nnachotaka kukiwakilisha kwenu ni utumiaji wa mirungii na matatizo ya kiafya,utumia ajii wa mirungii kwa mda mrefu una sababisha kupungua kwa nguvu za kiume,tatizo hili lina nifanyaa nifikirie vijana wengii arusha wala mirungii au vevee kama [case study] yangu,watakuwa hawa warizishii wake zao au wapenzi wao na kuwafanyaa wasaidiwee majukumu hayo njee na wengine.vijanaaa achenii mirungii...INAMALIZAA NGUVU ZA KIUME.
 
wngne wanalilia ngvu za kiume wengne hawaztaki.
 
hahaha..nimekusomaa hawaa wanajitakiaaaa sio
 
mbona huwasemi na wale wanywa banana
nenda kamuulize mnywa banana huwa inatokea nini wakifika majumbani mwao kwa wake zao
 
Mbona mi nikila ugali ndo nguvu za kiume zinakimbia.........:eyebrows:
 
Mbona mi nikila ugali ndo nguvu za kiume zinakimbia.........:eyebrows:

We utakuwa na matatizo mengine na sio ugali
chakula cha wanaume wewe kinakumaliza nguvu
 
somo limeeleweka wala hatubishi ila watajitoa ufahamu we ngoja waje.
 
tuko teyari kuwasaidia watanzania wenzetu watakapopatwa na matatizo hayo.Nalog off
 
Hata huo utafiti hutafanikiwa maana ume generalize issues sana kuna kangeta,giza,mrungi maini,njata unaongelea ipi? inayolaza ni maini
mmh! kweli hili jukwaa limeanza kukinaisha nowdayz!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…