Uchaguzi 2020 Vijijini mwamko ni mkubwa mno katika mikutano ya Tundu Lissu

Lowasa alikua anajaza zaidi ya Lisu, shida ni kwamba wengi wanaokwenda kwenye mikutano hiyo ni vijana halafu hawajajiandikisha kupiga kura, bwana mkubwa badala ya kutanga tanga huko duniani angerudi kuhamasisha vijana wajiandikishe kupiga kula, huu ndio ukweli ukubali au ukatae
Jifarijini

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Lowasa alikua anajaza zaidi ya Lisu, shida ni kwamba wengi wanaokwenda kwenye mikutano hiyo ni vijana halafu hawajajiandikisha kupiga kura, bwana mkubwa badala ya kutanga tanga huko duniani angerudi kuhamasisha vijana wajiandikishe kupiga kula, huu ndio ukweli ukubali au ukatae
Hayo ni mawazo mgando, ya kudhani wote wanao enda kwenye mikutano ya wapinzani hawana kadi, wanao enda kwenye mikutano ya ccm eti wana kadi. Si lissu wala Magufuri anayeuliza nani ana kadi kwenye mikutano yao. Kati ya watu 54 M waliopo Tanzania , vijana wenye umri wa miaka 18 hadi 45 wapo zaidi ya , 30M, ina maana vijana wengi wa na kadi
 
Lowasa alikua anajaza zaidi ya Lisu, shida ni kwamba wengi wanaokwenda kwenye mikutano hiyo ni vijana halafu hawajajiandikisha kupiga kura, bwana mkubwa badala ya kutanga tanga huko duniani angerudi kuhamasisha vijana wajiandikishe kupiga kula, huu ndio ukweli ukubali au ukatae
Vijana wa 2020 sio wale wa 2000.Wengi sasa wamemaliza form 4. Wanajua nini vyama vya upinzani na kuwa upinzani sio uhaini. Wengi wamejiandikisha kupiga kura kwa kuwa kitambulisho cha mpiga kura ndicho pekee kilichokuwa kinakubalika mhali pote. Ukiwa nacho unatambuka pote kwa kuwa kinakubalika pote. Wengi wanaohudhuria mikutano ya Lissu wanavyo vitambulisho vya kupigia kura. Vijana wengi wa vijijini wanavyo vitambulisho na ni wana mageuzi. Wale wazee wa 2000 kurudi nyuma wengi wamesha phase out!
 
Usisahau kwamba Lowassa alikuwa anafanya mkutano mmoja mkoa mzima, Lissu ni hatari ameongea na watu wengi Mara tano au kumi zaidi ya lowassa, na kitendo cha kumnyima helkopta kimekuwa na faida kubwa sana kwake kuliko angaeitumia
 
Wazee ndio wamechoka na kuchoka kabisa. Mtiti huu ni wa vijana wenye sri mpya.
 
H
Usisahau kwamba Lowassa alikuwa anafanya mkutano mmoja mkoa mzima, Lissu ni hatari ameongea na watu wengi Mara tano au kumi zaidi ya lowassa, na kitendo cha kumnyima helkopta kimekuwa na faida kubwa sana kwake kuliko angaeitumia
Hapo umeongea point sana. Dar alifanya mkutano wa jangwani tu. Then Mbeya then Mwanza na Arusha basi.
 
Lowasa alikua anajaza zaidi ya Lisu, shida ni kwamba wengi wanaokwenda kwenye mikutano hiyo ni vijana halafu hawajajiandikisha kupiga kura, bwana mkubwa badala ya kutanga tanga huko duniani angerudi kuhamasisha vijana wajiandikishe kupiga kula, huu ndio ukweli ukubali au ukatae
Lowassa ndio nani??
Kuna tafaut 20000 Kati ya TL na EL
 
Huko vijijini ndio CCM walikuwa wanategemea. Sasa kama huko nako wazee wamewakataa, basi CCM bye bye.
Hili suala la vijijini ccm walijiamini sana .kiukweli nako hali ni mbaya, honestly niliongea na bi mkubwa huko chemba anasema watu ni chadema tu habari za ccm ni kwa mbali sana

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Bahati mbaya kwa CCM sasa hivi vijana waliozaliwa hapo mwaka 2002 wanapiga kura mwaka huu,hao hawajui mambo ya Tanu ilileta uhuru sijui Tanu+ASP=Ccm wao wanajua tu mambo ya Chadema.
 
Kampeni au tuseme mikutano ya Lissu inathibitisha hilo na mimi binafsi nimeliona hilo na hata leo Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameongelea swala hili katika hii tweet yake hapa chini:

Vijijini mwamko ni mkubwa mno....mijini ndiyo kabisa.

Tunashukuru sana kila mtanzania anayejitokeza kuja kusikiliza wagombea wetu kuanzia Urais, Ubunge na Udiwani.

Huu ni ujumbe siasa ni maisha...ujumbe tunahitaji kuwa na fursa ya kuzungumza na wananchi.

*Kata ya Ruhembe

View attachment 1602480
Hapa ange malizia na chopa sass..
 
Bahati mbaya kwa CCM sasa hivi vijana waliozaliwa hapo mwaka 2002 wanapiga kura mwaka huu,hao hawajui mambo ya Tanu ilileta uhuru sijui Tanu+ASP=Ccm wao wanajua tu mambo ya Chadema.
Very true
 
Kampeni au tuseme mikutano ya Lissu inathibitisha hilo na mimi binafsi nimeliona hilo na hata leo Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameongelea swala hili katika hii tweet yake hapa chini:

Vijijini mwamko ni mkubwa mno....mijini ndiyo kabisa.

Tunashukuru sana kila mtanzania anayejitokeza kuja kusikiliza wagombea wetu kuanzia Urais, Ubunge na Udiwani.

Huu ni ujumbe siasa ni maisha...ujumbe tunahitaji kuwa na fursa ya kuzungumza na wananchi.

*Kata ya Ruhembe

View attachment 1602480
Mwaka huu MAKABURU WEUSI wanapumzishwa.
 
Back
Top Bottom