Vijijini ni pahala pazuri sana endapo serekali itapeleka msukumo huko!

Vijijini ni pahala pazuri sana endapo serekali itapeleka msukumo huko!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Endapo serekali yetu tukufu itaweka nguvu zake vijijini hakika huu mlundikano wa wazururaji mijini utapungua sana, Yapo mambo ambayo ni lazima serekali iyatekeleze kwanza ili kuvutia watu vijijini.

1)Ardhi zipimwe na zitambulike na ziwe na hati rasmi.

2) hati hizo ziwe na upendeleo maalumu kwa mabenki.

3)miundombinu vijijini ni lazima iboreshwe kwa kiwango cha kupitika kwa usafiri wowote hata kwa magari madogo.

4) makampuni maalumu yawepo vijijini ambayo yatakuwa na vifaa mbalimbali vya kumsaidia mkulima mf. Trektas and alikes.

5)Wanunuzi wa mazao ambao nao watakuwa na maghala na maofisi wawepo hukohuko vijijini.

6) Mabwana kilimo wawepo kila kona ya nchi ofisi zao ziambatane na ofisi za kijiji, yaani ofisi ya kijiji, bwana shamba bibi afya bwana mifugo, zikawa mkabala all services in one!

7) Bank ziweze kuwakopesha wakulima wenye hati huko vijijini hata pick up za kuwasaidia wakulima huko, na zana mbalimbali zitakazo weka wepesi kwa kazi zao!

8) Ukizingatia umeme umeshafika kwenye vijiji vingi mno

#What else!

FB_IMG_1700492957363.jpg
 
Hakika...
Kijijini pazuri mno mkuu, shida miundombinu ya huko tu, huwa najiuliza utakuta mtu amestaafu lakini hataki kwa nguvu zote kuliachia jiji, na mtaji anakuwa nao wa kutosha, ajabu sana, kwani huko vijijini huwa na low bacteria, hivyo ni kuzuri kiafya zaidi, ndio maana nyama tunaitundika tu ndani na inakaa siku tatu-tano haiharibiki.
 
Back
Top Bottom