Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumbu Wa Kichina Hao!!!! Hivi Popoma Unaijua Maana Yake Vizuri Mkuu!!!! "POPOMA " Ni KITU Ambacho Hakifai Kwa MATUMIZI Ya Aina Yoyote Yale!! Mf. Kwa Nazi, Ambayo Ni "Popoma "Haiwezi Kutumika Kama Nazi, Damu Au Vifuu Vyake!!!!!kuitwa nyumbu ni tusi kwa 7bu nyumbu anapofukuzwa na simba akiona majani mazuri hujisahau na kuanza kula majani na hapo simba hukamata kirahisi sana
[quote uid=321932 name="Bitoz" post=15482423]Mkuu naomba kukuliza...Sorry km itakuboa
Je tangu 2006 hujawahi badili ID(Jina) ?[/quote]

Nimeshawahi kubadili.

Wakati wa kampeni za urais za 2008 huko Marekani nilibadili jina nikawa Nyani McCain.

Wakati wa fainali za kombe la dunia mwaka 2010 nilibadili tena jina nikawa Brasil.

NGABU MANAKE NN?

Nyani maana yake ni hiyo hiyo.

Ngabu ni chombo cha seremala kinachofanana na patasi na kinachotumika kufanyia michoro kama kifereji au uvungu katika ubao.

Nini maana ya "Nyani ngabu" ?

Utani tu huo!

Profile yako inasema. U're a prezida wa wabeba box....Ni kweli au funny tu ?

Haina shaka.Nitashukuru
Mkuu mini maana ya "ngabu"

Nimeshawahi kubadili.

Wakati wa kampeni za urais za 2008 huko Marekani nilibadili jina nikawa Nyani McCain.

Wakati wa fainali za kombe la dunia mwaka 2010 nilibadili tena jina nikawa Brasil.

Nyani maana yake ni hiyo hiyo.

Ngabu ni chombo cha seremala kinachofanana na patasi na kinachotumika kufanyia michoro kama kifereji au uvungu katika ubao.

Utani tu huo!

Haina shaka.[quote uid=321932 name="Bitoz" post=15482423]Mkuu naomba kukuliza...Sorry km itakuboa
Je tangu 2006 hujawahi badili ID(Jina) ?
Mkuu nimecheka sana umependa kumjibu mwenzako lkn umekosa mbinu nzuri so fanya ivi nenda kacopy links ya jibu la Ngabu toka kwa Nyani Ngabu[

Nimeshawahi kubadili.

Wakati wa kampeni za urais za 2008 huko Marekani nilibadili jina nikawa Nyani McCain.

Wakati wa fainali za kombe la dunia mwaka 2010 nilibadili tena jina nikawa Brasil.

Nyani maana yake ni hiyo hiyo.

Ngabu ni chombo cha seremala kinachofanana na patasi na kinachotumika kufanyia michoro kama kifereji au uvungu katika ubao.

Utani tu huo!

Haina shaka.
[emoji115] [emoji115] from @ Nyani ngabu
Hahahahaha pole sanaMmh siku zote nilihisi ni Back To Work....JF kiboko !!!!
Sawa....!Lakini anatumika kisanii zaidi
Poa....!Kuanzia leo uwe unaandika japo maneno ma5.....
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kapuku sio maskini?14/Makapuku
Ni member wasio maarufu/wasiojulikana sana hapa JF ...vilevile inajumuisha underground pamoja na member wapya/wageni
Yes....ila kwa hapa limamainisha "maskini wa jf" yaani posts kiduchu..kwahiyo tafsiri ya Makapuku wa jf ushaelewaKapuku sio maskini?