Vijimaneno vya kwenye JF

Bitoz umewaza nini leo?
Kaka sina mawazo wala stress kabisa leo....hii thread itasaidia wengi coz inawezekana watu wanatutukana sisi tusiofahamu kijanjajanja tu na maneno mengine ntakuwa naendelea kuyaweka kwenye list

Wadau nini maana ya "Mbebez"?

kuitwa nyumbu ni tusi kwa 7bu nyumbu anapofukuzwa na simba akiona majani mazuri hujisahau na kuanza kula majani na hapo simba hukamata kirahisi sana
Nyumbu Wa Kichina Hao!!!! Hivi Popoma Unaijua Maana Yake Vizuri Mkuu!!!! "POPOMA " Ni KITU Ambacho Hakifai Kwa MATUMIZI Ya Aina Yoyote Yale!! Mf. Kwa Nazi, Ambayo Ni "Popoma "Haiwezi Kutumika Kama Nazi, Damu Au Vifuu Vyake!!!!!

Mkuu mini maana ya "ngabu"

uitwe majina yote lakini sio nyumbu mkuu
Nyumbu....sorry I mean Nyumba
Hahaaa nyumba yako ni nzuri
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

NGABU MANAKE NN?
[quote uid=321932 name="Bitoz" post=15482423]Mkuu naomba kukuliza...Sorry km itakuboa
Je tangu 2006 hujawahi badili ID(Jina) ?[/quote]

Nimeshawahi kubadili.

Wakati wa kampeni za urais za 2008 huko Marekani nilibadili jina nikawa Nyani McCain.

Wakati wa fainali za kombe la dunia mwaka 2010 nilibadili tena jina nikawa Brasil.

Nini maana ya "Nyani ngabu" ?

Nyani maana yake ni hiyo hiyo.

Ngabu ni chombo cha seremala kinachofanana na patasi na kinachotumika kufanyia michoro kama kifereji au uvungu katika ubao.

Profile yako inasema. U're a prezida wa wabeba box....Ni kweli au funny tu ?

Utani tu huo!

Nitashukuru

Haina shaka.
[emoji115] [emoji115] from @ Nyani ngabu

Mkuu mini maana ya "ngabu"

[quote uid=321932 name="Bitoz" post=15482423]Mkuu naomba kukuliza...Sorry km itakuboa
Je tangu 2006 hujawahi badili ID(Jina) ?

Nimeshawahi kubadili.

Wakati wa kampeni za urais za 2008 huko Marekani nilibadili jina nikawa Nyani McCain.

Wakati wa fainali za kombe la dunia mwaka 2010 nilibadili tena jina nikawa Brasil.

Nyani maana yake ni hiyo hiyo.

Ngabu ni chombo cha seremala kinachofanana na patasi na kinachotumika kufanyia michoro kama kifereji au uvungu katika ubao.

Utani tu huo!

Haina shaka.
[emoji115] [emoji115] from @ Nyani ngabu[/QUOTE]
Mkuu nimecheka sana umependa kumjibu mwenzako lkn umekosa mbinu nzuri so fanya ivi nenda kacopy links ya jibu la Ngabu toka kwa Nyani Ngabu

Mkuu nimecheka sana umependa kumjibu mwenzako lkn umekosa mbinu nzuri so fanya ivi nenda kacopy links ya jibu la Ngabu toka kwa Nyani Ngabu[
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

14/Makapuku
Ni member wasio maarufu/wasiojulikana sana hapa JF ...vilevile inajumuisha underground pamoja na member wapya/wageni

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…