Duh!Wanajamvi habari za jumapili?
Binafsi kuna vijitabia huwa vinanikera kwa kweli;
1. Weka picha (hii haijalishi ni uzi wa namna gani, pengine hata kama source ni Radio utaambiwa weka picha)
2. Ku 'quote' uzi wote hata kama umetolewa kwenye afu mtu anatupia emoji ☹️️☹️️☹️️
Kama nawe kuna nyingine tushtuane.
Wanabakaje thread??Kubaka thread... Kwenda nje ya mada husika
Duh!
Wanajamvi habari za jumapili?
Binafsi kuna vijitabia huwa vinanikera kwa kweli;
1. Weka picha (hii haijalishi ni uzi wa namna gani, pengine hata kama source ni Radio utaambiwa weka picha)
2. Ku 'quote' uzi wote hata kama umetolewa kwenye gazeti kisha mtu anatupia emoji ☹️️☹️️☹️️
Kama nawe kuna nyingine tushtuane.
Inaitwa "Kuhamisha Magoli"Kubaka thread... Kwenda nje ya mada husika
[emoji124]Wanajamvi habari za jumapili?