Vijitabia pendwa vya baadhi ya wana JF

Vijitabia pendwa vya baadhi ya wana JF

Third Eye

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
373
Reaction score
210
Wanajamvi habari za jumapili?
Binafsi kuna vijitabia huwa vinanikera kwa kweli;
1. Weka picha (hii haijalishi ni uzi wa namna gani, pengine hata kama source ni Radio utaambiwa weka picha)
2. Ku 'quote' uzi wote hata kama umetolewa kwenye gazeti kisha mtu anatupia emoji ☹️️☹️️☹️️

Kama nawe kuna nyingine tushtuane.
 
2. Ku 'quote' uzi wote hata kama umetolewa kwenye afu mtu anatupia emoji ☹️️☹️️☹️️

Kama nawe kuna nyingine tushtuane.
Duh!
 
Wanajamvi habari za jumapili?
Binafsi kuna vijitabia huwa vinanikera kwa kweli;
1. Weka picha (hii haijalishi ni uzi wa namna gani, pengine hata kama source ni Radio utaambiwa weka picha)
2. Ku 'quote' uzi wote hata kama umetolewa kwenye gazeti kisha mtu anatupia emoji ☹️️☹️️☹️️

Kama nawe kuna nyingine tushtuane.

Hebu weka picha tuone mkuu.
 
1.Be the first to reply,..................................[kwahiyo?]

2.Subiri wanakuja,........................................[Wewe ulifuata nini?]

3.Hii lugha ya malkia kweli ilikuja kwa meli,.......[Ulitaka itembee kwa miguu🙁🙁🙁]

4.Jf imevamiwa,.................................[Walinzi walikuwa wapi?]

5.Mnafungua lini shule?......................[Kamuulize Mwalimu Mkuu]
 
Wanajamvi habari za jumapili?
Binafsi kuna vijitabia huwa vinanikera kwa kweli;
1. Weka picha (hii haijalishi ni uzi wa namna gani, pengine hata kama source ni Radio utaambiwa weka picha)
2. Ku 'quote' uzi wote hata kama umetolewa kwenye gazeti kisha mtu anatupia emoji ☹️️☹️️☹️️

Kama nawe kuna nyingine tushtuane.
[emoji124]
 
Back
Top Bottom