Vijiti vya kuwashia mkaa(moto)

Jungo_tz

Member
Joined
Dec 11, 2018
Posts
37
Reaction score
41
Kutona na maombi ya wateja wetu kwa sasa vijiti vya kuwashia mkaa(moto) vitapatikana kwa Tsh. 750/= jumla na reja reja Tsh. 1000/= .
#0620479092
Kwa Dar unaletewa hadi ulipo na mkoani tunatuma pia.
Karibuni Sana.
 
sasa mkuu vijiti viwili tu ndo unauza buku,,,alafu mbona vijiti vyenyewe vyembamba sana mkuu!,
Kutona na maombi ya wateja wetu kwa sasa vijiti vya kuwashia mkaa(moto) vitapatikana kwa Tsh. 500/= jumla na reja reja Tsh. 1000/= .
#0620479092
Kwa Dar unaletewa hadi ulipo na mkoani tunatuma pia.
Karibuni Sana.
 
Hakuna viwili wewe uliona wapi viwili mi nauza pakti nzima mkuu
sasa mkuu vijiti viwili tu ndo unauza buku,,,alafu mbona vijiti vyenyewe vyembamba sana mkuu!,
 
ok poa,,ila jitahidi na humu uweke picha,,wengine huko insta tuliwahi kufumaniwa,,atuendagi,,
Picha imegoma kuja mkuu au anaweza tembelea @official_jungo on instagram kama atependa
 
Guys picha tu imekataa kuja ila ukitembelea kwenye account yangu ya instagram utaona Jungo_tz
 
Mkuu sorry,kwa kutoa tu elimu,hivyo vijiti vinatumikaje,yaani uzee wangu wote leo ndo naviskia
 
vinafanyaje kazi hivyo?
Mkuu sorry,kwa kutoa tu elimu,hivyo vijiti vinatumikaje,yaani uzee wangu wote leo ndo naviskia
Hivyo wakina mama wakisha weka mkaa kwenye jiko wanachukua kijiti kimoja katika hiyo pakiti wanaweka katikati ya mkaa wanakiwasha kinaungua kinakoleza na ule mkaa hivyo tunasema ni mbadala wa mafuta ya taa.
 
Shukran ndugu profesa kwa somo, hii idea nzuri sana kwa wanaopikia hayo majiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…