Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutona na maombi ya wateja wetu kwa sasa vijiti vya kuwashia mkaa(moto) vitapatikana kwa Tsh. 500/= jumla na reja reja Tsh. 1000/= .
#0620479092
Kwa Dar unaletewa hadi ulipo na mkoani tunatuma pia.
Karibuni Sana.
Huyo mkuu kamaanisha kwa nini hujaweka picha ya biashara yako.Hakuna viwili wewe uliona wapi viwili mi nauza pakti nzima mkuu
Hakuna viwili wewe uliona wapi viwili mi nauza pakti nzima mkuu
Picha imegoma kuja mkuu au anaweza tembelea @official_jungo on instagram kama atependa
fb nadaiwa,,aghh,,hampa mjini nina vimeo mpaka kwenye social media,dah noma sana yani,,
vinafanyaje kazi hivyo?
Hivyo wakina mama wakisha weka mkaa kwenye jiko wanachukua kijiti kimoja katika hiyo pakiti wanaweka katikati ya mkaa wanakiwasha kinaungua kinakoleza na ule mkaa hivyo tunasema ni mbadala wa mafuta ya taa.Mkuu sorry,kwa kutoa tu elimu,hivyo vijiti vinatumikaje,yaani uzee wangu wote leo ndo naviskia
Shukran ndugu profesa kwa somo, hii idea nzuri sana kwa wanaopikia hayo majiko.Hivyo wakina mama wakisha weka mkaa kwenye jiko wanachukua kijiti kimoja katika hiyo pakiti wanaweka katikati ya mkaa wanakiwasha kinaungua kinakoleza na ule mkaa hivyo tunasema ni mbadala wa mafuta ya taa.