Vijiwe maarufu vya Kitimoto Moshi Mjini

Vijiwe maarufu vya Kitimoto Moshi Mjini

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
IMG-20180220-WA0042.jpg

Nimeshindwa kabisa kabisa kuachana na hii 'materials' pendwa duniani kote! Moshi wataalamu sana wa kutengeneza na kula kitimoto. Ukiwa Moshi tembelea Minjas Pub Majengo. Kiboloroni. Msonge. Mbosho. Masikio. Makutini na Soweto Pamela Pub!

Kwa muda huu mm nipo hapa Msonge napata kitimoto ya kukaanga na ndizi. Ndo nimetoka kazini. Nashushia na bia moja nielekee home nikalale. Nitaondoka na ya familia kidogo.

Aikambe/aikama
 
View attachment 698809

Umesahau scorpion soweto.
 
Unyonya ~ Kiborloni, kitambo sana sijui kama bado ipo
 
Back
Top Bottom