Kijana LOGICS Senior Member Joined Dec 16, 2023 Posts 140 Reaction score 536 Feb 14, 2024 #1 Vishukuriwe vijiwe Tanzania wanaume tunainjoi maisha Japo account zinasima zero. Majobless huo tunakutana vijiwen tunapiga story na kupeana michongo ya kazi mbalimbali za kutumia nguvu nyingi n'a malipo kidogo Ila kimtindo life linasonga.
Vishukuriwe vijiwe Tanzania wanaume tunainjoi maisha Japo account zinasima zero. Majobless huo tunakutana vijiwen tunapiga story na kupeana michongo ya kazi mbalimbali za kutumia nguvu nyingi n'a malipo kidogo Ila kimtindo life linasonga.
Morning_star JF-Expert Member Joined Apr 21, 2018 Posts 6,042 Reaction score 17,320 Feb 14, 2024 #2 Vijiwe ni njia ya kutumbukiza kichwa kwenye shimo la umasikini!
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 14,834 Reaction score 32,522 Feb 14, 2024 #3 Kukaa kijiweni ni utoto, jitahidi hata uwe mwizi wa kutumia akili!