Vijue vikwazo vya 'Global Magnitsky Sanctions' vilivyoongezwa kwenye mswada

Vijue vikwazo vya 'Global Magnitsky Sanctions' vilivyoongezwa kwenye mswada

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Global Magnitsky Sanctions ni moja ya vikwazo vilivyoongezwa kwenye mabadiliko yaliyofanywa hivi karibuni na bunge la seneti la Marekani kwa serikali ya Tanzania.

IMG_20260614_112301.jpg


Vinawalenga watu binafsi na makampuni kuendelea kufanya au kutumia huduma yoyote ya makampuni ya Marekani na washirika wake dunia nzima, kufanya biashara na mtu wa marekani, kutumia huduma za kibenki kama vile Dola ya Marekani, VISA, MasterCard na SWIFT.

Makampuni kama ya DP World na makampuni ya Rostam yatapigwa pini kutumia dola ya Marekani.

Lile swali la Putin ambalo Samia hakulielewa, kuwa utafanyaje biashara na nchi iliyowekewa vikwazo na Marekani, Putin alilenga hiki kikwazo.

Global Magnitsky Sanctions are targeted punitive measures designed to freeze assets and impose travel bans on individuals and organizations worldwide responsible for serious human rights abuses, violations of fundamental freedoms, or significant acts of corruption.

The Framework

Origin: Named after Sergei Magnitsky, a Russian tax whistleblower who died in police custody in 2009.

U.S. Authority: The U.S. Global Magnitsky Human Rights Accountability Act was permanently reauthorized, allowing targeted sanctions against perpetrators in any country.

Global Reach: Similar independent regimes have also been adopted by the UK, Canada, Australia, and the European Union.

How They Work

Asset Freezing of Assets: All property and interests in property within the jurisdiction of the sanctioning government are blocked.

Travel Bans: Designated individuals are generally prohibited from entering the sanctioning country.

Global Database: To explore an aggregated, searchable list of international sanction programs, use the OpenSanctions GloMag Program database.
 
Huo mswada unapaswa kuharakishwa ili uwe sheria kamili

naamin ukishakuwa sheria kinachofuata ni kutoa orodha yote ya wale watenda maovu na kuwekewa vikwazo
ikifikia hatua hiyo na washirika wa marekani wa nchi za ulaya nao wataweka vikwazo pia
 
Back
Top Bottom