Uchaguzi 2020 Vijue vipaumbele kwenye Ilani ya CHADEMA vinavyoitesa CCM

Nimemkumbuka Mama Zakhia Meghj alivyoilea sekta binafsi kwa sera ya "Private-Public Partnership" PPP. Na ile kauli ingine aliyoizoea sana ya "D by D".

Hakika sekta binafsi ilikuwa inakwenda vizuri sana wakati huyu mama akiwa Waziri wa Fedha
 
Hivi vipaumbele vimewekwa na mtu anayejua kuwa hata shinda hata akiandika kwake ni kawaida tu ni sawa na kupanga jambo uanalolojua huta weza kulifanya
 
Baba mwenye nyumba alieyumba aliviona hivyo vipaumbele akavicopy fasta na kuanza kuvihubiri!
 
Chadema hawana hata hela ya kufanyia kampeni kuwapa hazina no sawa na kumkabidhi fisi bucha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…