Vijue vyakula vya asili vinavyokuza makalio!

Vijue vyakula vya asili vinavyokuza makalio!

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,957
getimage.aspx


IMEKUWA ni kawaida kwa akina dada wa siku hizi kupenda kuwa na makalio makubwa kwa kile wanachoamini huchangia kuvutia wanaume. Huenda kuna ukweli juu ya madai hayo ingawa bado hakuna utafiti uliothibitisha hoja hiyo.

Kutokana na dhana hiyo iliyojengeka vichwani mwa dada zetu hao, wamekuwa wakifanya kila liwezekanalo kuhakikisha wanakuwa na makalio makubwa wakiamini watakuwa wamewafunga na kuwadhibiti kabisa wanaume wao au kuwavutia wengine zaidi.

Wamekuwa wakidiriki hata kufanyiwa upasuaji au kutumia dawa za kisasa na hatimaye hujikuta wakitumia fedha nyingi kupambana na madhara yatokanayo na njia hizo. Wakati hayo yakiendelea, kuna habari njema kuwapo kwa njia mbadala ya wanawake wenye nia ya kukuza makalio yao ya kutumia vyakula vya asili. Vyakula vyenye Protini Protini ina umuhimu mkubwa mwilini achilia mbali kwa mwanamke anayetaka kuongeza ukubwa wa makalio yake.

Baadhi ya watu wamekuwa wakipotosha wenzao kuwa vyakula vya protini ni kwa ajili ya watu wanaobeba vyuma. Si kweli. Kila binadamu anahitaji kiasi cha protini ili kuimarisha afya yake. Mwanamke anayependa kuwa na makalio makubwa atahitaji kuongeza matumizi ya vyakula vya protini.

Mfano wa vyakula hivyo ni mayai, maharage, mboga za matunda na viazi vitamu. Ikiwa atapata japo gramu 15 hadi 30 ya protini kwa kila mlo. Vyakula vyenye mafuta Pia wanawake wenye nia ya kuongeza ukubwa wa makalio yao wanahitaji vyakula vinavyozalisha mafuta. Mfano; samaki, nazi, korosho na karanga.

Mboga za majani Mboga za majani zina virutubisho mbalimbali vinavyosaidia kukuza makalio. Kwa yeyote anayetaka kuongeza makalio yake, anatakiwa kula kwa wingi kadiri awezavyo vyakula vinavyohusisha mboga za majani bila woga. Mboga hizo zinaweza kuambatana na ulaji wa spinachi, nyanya na mazao mengine ya majani kama hayo.

Mchanganyiko wa vyakula hivyo kwenye mpangilio wa mlo, huweza kumfanya mwanamke kutimiza kusudio lake la kuwa na makalio makubwa bila kutumia njia za kisasa ambazo kwa kiasi kikubwa zimekuwa na madhara.
 
getimage.aspx

IMEKUWA ni kawaida kwa akina dada wa siku hizi kupenda kuwa na makalio makubwa kwa kile wanachoamini huchangia kuvutia wanaume. Huenda kuna ukweli juu ya madai hayo ingawa bado hakuna utafiti uliothibitisha hoja hiyo. Kutokana na dhana hiyo iliyojengeka vichwani mwa dada zetu hao, wamekuwa wakifanya kila liwezekanalo kuhakikisha wanakuwa na makalio makubwa wakiamini watakuwa wamewafunga na kuwadhibiti kabisa wanaume wao au kuwavutia wengine zaidi. Wamekuwa wakidiriki hata kufanyiwa upasuaji au kutumia dawa za kisasa na hatimaye hujikuta wakitumia fedha nyingi kupambana na madhara yatokanayo na njia hizo. Wakati hayo yakiendelea, kuna habari njema kuwapo kwa njia mbadala ya wanawake wenye nia ya kukuza makalio yao ya kutumia vyakula vya asili. Vyakula vyenye Protini Protini ina umuhimu mkubwa mwilini achilia mbali kwa mwanamke anayetaka kuongeza ukubwa wa makalio yake. Baadhi ya watu wamekuwa wakipotosha wenzao kuwa vyakula vya protini ni kwa ajili ya watu wanaobeba vyuma. Si kweli. Kila binadamu anahitaji kiasi cha protini ili kuimarisha afya yake. Mwanamke anayependa kuwa na makalio makubwa atahitaji kuongeza matumizi ya vyakula vya protini. Mfano wa vyakula hivyo ni mayai, maharage, mboga za matunda na viazi vitamu. Ikiwa atapata japo gramu 15 hadi 30 ya protini kwa kila mlo. Vyakula vyenye mafuta Pia wanawake wenye nia ya kuongeza ukubwa wa makalio yao wanahitaji vyakula vinavyozalisha mafuta. Mfano; samaki, nazi, korosho na karanga.
Mboga za majani Mboga za majani zina virutubisho mbalimbali vinavyosaidia kukuza makalio. Kwa yeyote anayetaka kuongeza makalio yake, anatakiwa kula kwa wingi kadiri awezavyo vyakula vinavyohusisha mboga za majani bila woga. Mboga hizo zinaweza kuambatana na ulaji wa spinachi, nyanya na mazao mengine ya majani kama hayo. Mchanganyiko wa vyakula hivyo kwenye mpangilio wa mlo, huweza kumfanya mwanamke kutimiza kusudio lake la kuwa na makalio makubwa bila kutumia njia za kisasa ambazo kwa kiasi kikubwa zimekuwa na madhara.
Alafu mkuu hii diet inafanya kazi kwa mtu mweusi tu au? Nijuavyo wazungu inapokuja suala la balanced diet hawataki mchezo ila wengi ni pasi. Wanakula proteins za kutosha.
 
Makalio ni asili ya mtu tu anakuwa nayo bila kula hata hivo vyakula, hafu mi ka mwanamke sioni u muhimu wake zaidi ya usumbufu tu kutoka kwa timu mendezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makalio ni asili ya mtu tu anakuwa nayo bila kula hata hivo vyakula, hafu mi ka mwanamke sioni u muhimu wake zaidi ya usumbufu tu kutoka kwa timu mendezi

Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu wanaume sasa hivi tunaanza kuingiwa na hofu kuoa wanawake wenye mizigo, nyumba haiwi salama. Akienda kanisani, sokoni, kwa fundi, akipita mtaani ni balaa tupu.
Wenye mizigo ni kuwafanya michepuko, girlsfrienda na kuchapa tu. Sio kuoa. Nyumbani unaweka kitu cha kawaida, sio pasi wala zigo la kuleta utata. Nyumba inakuwa na amani.
 
Sikubali WHY hakuna kitimoto????????????????????????????????????????????????????????
 
Alafu wanaume sasa hivi tunaanza kuingiwa na hofu kuoa wanawake wenye mizigo, nyumba haiwi salama. Akienda kanisani, sokoni, kwa fundi, akipita mtaani ni balaa tupu.
Wenye mizigo ni kuwafanya michepuko, girlsfrienda na kuchapa tu. Sio kuoa. Nyumbani unaweka kitu cha kawaida, sio pasi wala zigo la kuleta utata. Nyumba inakuwa na amani.
Wanaume wengi ni wasumbufu kwa wanawake wenye wezere kubwa hata kupita njiani usumbufu, hafu wao wa nawaza uchafu tu yani sijui kwanini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom