Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Umeona bhana !
Mungu ibariki Zambia
Hakuna kiongozi wa ccm anayebana matumizi , chukua hiyoBadala ya kufanya ziara ya kwenda Malawi anatumia fursa hiyohiyo kuonana na marais wengine ikiwezekane.
Ziara ya Rais kwenye nchi nyingine inagharimu pesa nyingi, tukiweza kusave matumizi yasiyo na lazima kwa style hii shida iko wapi?
Unaweza kuona ni namba 9 kumbe ni 6 kwa sababu ya mtazamo tu, sawa tu na heat na eat.
Siwezi kuchukuwa, utapata vidonda vya tumbo na kisukari bure ukitaka kuangalia kila jambo in negative way.Hakuna kiongozi wa ccm anayebana matumizi , chukua hiyo
Umeona bhana !
Kuna mwendawazimu alikuwa akiwaita hawa mabeberu, na wajinga wenzake wote mkaririshwa kama makasuku vile.Hapa raisi Samia akiwa na mbowe na lisuView attachment 1995210
Mkaririshwa ndio nini huko mtaa wa ufipa? Kuna vichaa pale Sacco's ya mtaa wa ufipa waliwakaririsha nyumbu wao mmoja wa nyumbu hao ni wewe kuwa lowasa na sumaye ni mafisadi na mgombea wa chadema akawa lowasa huoni hili ni ajabu la 8 la dunia [emoji23][emoji1787]Kuna mwendawazimu alikuwa akiwaita hawa mabeberu, na wajinga wenzake wote mkaririshwa kama makasuku vile.
Katika kitu wapumbavu wa ccm huwa mnashangaza, kwamba mtu asiyeitaka ccm ni Chadema?Mkaririshwa ndio nini huko mtaa wa ufipa? Kuna vichaa pale Sacco's ya mtaa wa ufipa waliwakaririsha nyumbu wao mmoja wa nyumbu hao ni wewe kuwa lowasa na sumaye ni mafisadi na mgombea wa chadema akawa lowasa huoni hili ni ajabu la 8 la dunia [emoji23][emoji1787]
Hii ndiyo inayakiwa sana
Kongore wazambia
Naona umeamua kuifanya kazi ya CAGBadala ya kufanya ziara ya kwenda Malawi anatumia fursa hiyohiyo kuonana na marais wengine ikiwezekane.
Ziara ya Rais kwenye nchi nyingine inagharimu pesa nyingi, tukiweza kusave matumizi yasiyo na lazima kwa style hii shida iko wapi?
Unaweza kuona ni namba 9 kumbe ni 6 kwa sababu ya mtazamo tu, sawa tu na heat na eat.
Jamaa tayari alishakatwa mkia kitambo sasa yupo zizini lumumbaHakuna kiongozi wa ccm anayebana matumizi , chukua hiyo
Hongera wewe kwa kuamua kuwa kwenye timu ya kupiga makofi na kuimba mapambio.Siwezi kuchukuwa, utapata vidonda vya tumbo na kisukari bure ukitaka kuangalia kila jambo in negative way.