fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Hivi kwa akili yako hujui kuwa tunafanya biashara na malawi?hujui pia kuwa tunataka kuwashawishi kutumia meli na bandari zetu kule mbamba bay?wewe hujui kuwa tunapakana nao?Kiongozi yeyote anapopata upenyo wa kuhudhuria Mikutano muhimu kama unaoendelea huko Scotland , ni vema akatumia wasaa huo muhimu wa kukutana na Wadau wa Maendeleo , ili wasaidie Mkwamo wa Nchi yake .
Uko Ulaya halafu unapambana kukutana na Chakwera ambaye nchi yake imekongoroka unataka akusaidie nini , Demokrasia ? mbona kwenu mnaisigina ?
Safari za viongozi ni vema zikawa na tija basi .
View attachment 1995179
Kwani hujamuona mama akikutana na hao wadaubwa maendeleo? Acheni kuropokaropoka tu
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app