4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Rais wa Zambia ni shida Sana nafasi Kama hizi anazitumia KWa wivu mkubwa sanaKiongozi yeyote anapopata upenyo wa kuhudhuria Mikutano muhimu kama unaoendelea huko Scotland , ni vema akatumia wasaa huo muhimu wa kukutana na Wadau wa Maendeleo , ili wasaidie Mkwamo wa Nchi yake .
Uko Ulaya halafu unapambana kukutana na Chakwera ambaye nchi yake imekongoroka unataka akusaidie nini , Demokrasia ? mbona kwenu mnaisigina ?
Safari za viongozi ni vema zikawa na tija basi .
View attachment 1995179
Yule Mwendawazimu Kwa Sasa ni MwendakuzimuKuna mwendawazimu alikuwa akiwaita hawa mabeberu, na wajinga wenzake wote mkaririshwa kama makasuku vile.
Wewe ni nyumbu Tu huna loloteKatika kitu wapumbavu wa ccm huwa mnashangaza, kwamba mtu asiyeitaka ccm ni Chadema?
Pumbavu kabisa, mimi siyo mtumwa wa vyama, mimi ni independent citizen fala wewe.
Duuuh😳😳😳 🤣Mungu ibariki Zambia
Pinga pinga FC kambini.....Hii ndiyo inayakiwa sana
Huyo anaitwa Pinga pinga FC kwake/kwao hakuna jema na la maana lililofanyika/linalofanyika....Siwezi kuchukuwa, utapata vidonda vya tumbo na kisukari bure ukitaka kuangalia kila jambo in negative way.
Hiyo ndiyo tofauti ya wazambia na watanzaniaRais wa Zambia ni shida Sana nafasi Kama hizi anazitumia KWa wivu mkubwa sana
Nyumbu ni walio kuleta hapa duniani.Wewe ni nyumbu Tu huna lolote
Kama ccm mlivyo kwisha tuuzaDuuuh[emoji15][emoji15][emoji15] [emoji1787]
Halafu mnataka tuwapigie kura na kuwachagua.....
Mtatuuza ninyi.....heri ya zimwi likujualo!
Hakuna cha kupongeza maana ccm haina jema kwa wananchiHuyo anaitwa Pinga pinga FC kwake/kwao hakuna jema na la maana lililofanyika/linalofanyika....
Mimi siwezi kuwa mramba miguu kama wewe asiyejitambuaPinga pinga FC kambini.....
Madikiteita wa kike na kiume, takataka tpu if they can not do democracy to their people!Kiongozi yeyote anapopata upenyo wa kuhudhuria Mikutano muhimu kama unaoendelea huko Scotland , ni vema akatumia wasaa huo muhimu wa kukutana na Wadau wa Maendeleo , ili wasaidie Mkwamo wa Nchi yake .
Uko Ulaya halafu unapambana kukutana na Chakwera ambaye nchi yake imekongoroka unataka akusaidie nini , Demokrasia ? mbona kwenu mnaisigina ?
Safari za viongozi ni vema zikawa na tija basi .
View attachment 1995179
😳🤣🤣Hakuna cha kupongeza maana ccm haina jema kwa wananchi
Ndiyo uwache kulialia basi[emoji15][emoji1787][emoji1787]
Endelea na misimamo yako....nasi tuendelee na yetu tu....
Akili za nyumbu hovyo kabisa, kwahiyo Mh rais Samia Ni kiongozi wa CCM? Kiongozi wa Tanzania Ni Mbowe?Hakuna kiongozi wa ccm anayebana matumizi , chukua hiyo
Katika kitu wapumbavu wa ccm huwa mnashangaza, kwamba mtu asiyeitaka ccm ni Chadema?
Pumbavu kabisa, mimi siyo mtumwa wa vyama, mimi ni independent citizen fala wewe.
Labda anamkumbusha Chakwera utata ulioko ziwani kwenye mpaka kati ya Tanzania na Malawi wayajenge.Kiongozi yeyote anapopata upenyo wa kuhudhuria Mikutano muhimu kama unaoendelea huko Scotland , ni vema akatumia wasaa huo muhimu wa kukutana na Wadau wa Maendeleo , ili wasaidie Mkwamo wa Nchi yake .
Uko Ulaya halafu unapambana kukutana na Chakwera ambaye nchi yake imekongoroka unataka akusaidie nini , Demokrasia ? mbona kwenu mnaisigina ?
Safari za viongozi ni vema zikawa na tija basi .
View attachment 1995179