Vikao na viongozi wa Kiafrika huko Ulaya badala ya Wadau wa Maendeleo vya nini tena?

Hivi kwa akili yako hujui kuwa tunafanya biashara na malawi?hujui pia kuwa tunataka kuwashawishi kutumia meli na bandari zetu kule mbamba bay?wewe hujui kuwa tunapakana nao?
Kwani hujamuona mama akikutana na hao wadaubwa maendeleo? Acheni kuropokaropoka tu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hizi photo-ops baina ya viongozi wa nchi na watu mbalimbali sizo zitakazoleta maendeleo ya nchi. Hivi fikiria kidogo. Yaani uwe na mipango ya kujenga SGR na mega Hydropower na miradi mingine baab kubwa vitakavyosaidia nchi ipige hatua kubwa za kimaendeleo miradi hiyo ikikamilika, kupiga picha na Johnson au Biden au sijui mtu gani mwingine kutasaidia nini?

Hizo ni photoop pure and simple. Mipango madhubuti ya maendeleo hufanyika chobingo, inahitaji dhamira ya dhati na sacrifices za watu wa nchi hiyo inayotaka maendeleo. Kuzunguka Ulaya na Marekani hakujawahi hata siku moja kuwatoa watu wa nchi maskini kwenye umaskini wao.
 
😁😁😁😁😂😂😂 Bavicha mnajipandisha bure wakati hamna lolote. Kwani mzee wa miga anasemaje
 
Maendeleo ni nini? Kutafuta Mbinu za jukabiriana na mabadiliko ya tabia nchi si maendeleo?. Unaweza kufanya hivyo bila kushirikiana na wadau?
Your browser is not able to display this video.
 
Kwenye bandari ya Dar wana kitengo chao special kinaitwa Malawi cargo.
 
Ebu tulia wewe mkojani team
 
Mabalozi na wataalamu wafanye kazi yao ya kuongea serious issues na hao wadau wa maendeleo, rais atafanya assertion ya kile ambacho wataalamu wamesha mpa briefing......kwa hiyo kukutana na world leaders kubadilishana maneno mawili matatu huwezi kuchukulia kama kuna makubaliano makubwa yanaweza kufanyika hapo.
 
Halafu tukisave hizo pesa huwa unazionaga? Si bora atanue tu mana hata zikisaviwa huwezi ziona. Jpm aliwapiga fix watu kuwa anasave kumbe hamna lolote. Mbona hajaajiri wa kupandisha madaraja au kuongeza nyongeza ya mishara. Mbona alikopa sana kuliko marais wote kama kweli alikiwa anasave kwa kitoenda nje. Issue ni kwamba alikuwa hajue kingereza hata yeye alikuwa anatamani kwenda nje. Chezea nje wewe. Hata wewe unapatamani
 
Kiongozi yeyote anapopata upenyo wa kuhudhuria Mikutano muhimu kama unaoendelea huko Scotland , ni vema akatumia wasaa huo muhimu wa kukutana na Wadau wa Maendeleo , ili wasaidie Mkwamo wa Nchi yake .

Uko Ulaya halafu unapambana kukutana na Chakwera ambaye nchi yake imekongoroka unataka akusaidie nini , Demokrasia ? mbona kwenu mnaisigina ?

Safari za viongozi ni vema zikawa na tija basi .

View attachment 1995179
Strongly agree with you.
 
Mimi siwezi kuwa mramba miguu kama wewe asiyejitambua
Kwako ili mtu ajitambue ni lazima awe muumini wa huyu Mandela.....

Cha ajabu Sugu alijiita Mandela.....

Lema alijiita Mandela......

Lissu naye Mandela.....

Sijui wako Mandela wangapi huko CDM 🤣🤣🤣

 
Corona siyo mchezo dadeeeekiiiii
 
Hapana bwana umesahau, maushungi hakutoka kapa Marekani, si alionana na msemaji mkuu wa State Department Miss Mange Kimambi.. 🤣 🤣 🤣
 
Hapana bwana umesahau, maushungi hakutoka kapa Marekani, si alionana na msemaji mkuu wa State Department Miss Mange Kimambi.. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…