Vikao vimefanyika EAC na SADC kwa njia ya video kujadili Corona, ila Tanzania ikajiweka pembeni imenuna kweli kweli

Hayayanahusikana aje na made?
 
Basi ongea na Ramaphosa kwa Kisukuma...
kuongea kiingereza kunawafanya wakenya wajione fahari kweli akati ni lugha tu kama kijaluo..

siku mkiufuta huu ujinga wakujifaharishia lugha za watu ndo mtafanikiwa kuyashinda mabalaa ya kufa na njaa kila mwaka hata tukawasaidia vyakula kenge nyie
 
Katibu wa SADC anaishi permanently hukohuko Gaborone, ni Mtanzania, yeye ndio sikio letu lahuko.

Mzee baba JPM yuko kujijini saa hii na sidhani kama mtandao ni mzuri sana kwa mkutano kam huo.

Prof.Kabudi alikwenda Madascar kuleta dawa🙂

Mikutano kama hio ni adhoc sio structured, kwa hio tutapata draft minutes na kama kuna comments/inputs zeta tutaweka.

Siku nyingine waache kuitisha mikutano adhoc namna hio, itakula kwao.

Sasa chair halafu umegomea Chato, vikao vikubwa namna hii unakwepa...aisei hiki kirusi bana..
 
kuongea kiingereza kunawafanya wakenya wajione fahari kweli akati ni lugha tu kama kijaluo..

siku mkiufuta huu ujinga wakujifaharishia lugha za watu ndo mtafanikiwa kuyashinda mabalaa ya kufa na njaa kila mwaka hata tukawasaidia vyakula kenge nyie

Kingereza kimewashinda, basi ongea Kinyakyusa acha kukwepa vikao....
Au muwahusishe Wahaya, wale wako vizuri kingereza maana wamepakana na Waganda......ndio maana kuna akili kubwa kwenye hao
 

ila mngepata tabu sana kwenye kikao kama hicho maana kama mwenyekiti mngetegemewa kukiendesha halafu changamoto ya lugha.
Rais Rafiki wa Rais wetu - JamiiForums
 
Acha utopolo wako wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…