Vikao vimefanyika EAC na SADC kwa njia ya video kujadili Corona, ila Tanzania ikajiweka pembeni imenuna kweli kweli

Hivi majuzi kikao kimefanywa na marais wa EAC kujadili Corona, walitumia mfumo wa utaalam wa video, Tanzania ikanuna haikushiriki, leo kikao kimefanywa na mataifa ya SADC kupitia njia hiyo hiyo, bado Tanzania imewanunia na hao pia, ndugu zetu wa kusini hamuoni kama mnajitenga na huo ubabe wenu, enzi hizi za utandawazi hamuwezi kusafiri wenyewe.
Rais alishaongea na mwenzake wa South Africa alipotoa taarifa ya kupima Mbuzi. Inawezekana walikubaliana asimamie mkutano.
 
Mbona vikao hivyo vimekuwa vikifanyika sana tu, umeshasahsu ni juzi tu viongozi wote wa SADC walikua Bongo na mwenyeji wao alikua ni JPM.

Vikao vya SADC kwa kutumia mtandao viliasisiwa na Tanzania chini ya TTCL, hii habari ipo humu tayari mbona.
ila mngepata tabu sana kwenye kikao kama hicho maana kama mwenyekiti mngetegemewa kukiendesha halafu changamoto ya lugha.
Rais Rafiki wa Rais wetu - JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MK254 inaonekana umevunjiwa Banda lako pale Kariobangi...imejaa stress....hujui ABC za SADAC....Kenya Kwanza haimo
Acha ujuha kijana.

Secretary General wa SADC ni Dr Stergomena Tax a Tanzanian national yeye ndio anaendesha SADC yote tokea Gaborone Botswana for the past 10 years:-🙂

Zaidi ya hap current chair wa SADC ndio Mzee baba JPM na all Work Group chairs ni respective ministers wa Tanzania mpaka hapo our chairmanship expires sometimes this year.

Uliza kabla ya kupost vitu vingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona vikao hivyo vimekuwa vikifanyika sana tu, umeshasahsu ni juzi tu viongozi wote wa SADC walikua Bongo na mwenyeji wao alikua ni JPM.

Vikao vya SADC kwa kutumia mtandao viliasisiwa na Tanzania chini ya TTCL, hii habari ipo humu tayari mbona.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mlipigiwa simu mkaombwa muongoze, mkatoa vijisababu vya logistics ilhali ni remote video, Kikwete mwanzo mwanzo alikua na matatizo ya lugha, ila taratibu akapambana mpaka mwishoni mwa awamu yake alikua vizuri tayari, ila hii awamu ya tano...hehehe
 
Hii mada yako imeshakushinda, nakushauri uanzishwe mada mpya kama kawaida yako..
Mlipigiwa simu mkaombwa muongoze, mkatoa vijisababu vya logistics ilhali ni remote video, Kikwete mwanzo mwanzo alikua na matatizo ya lugha, ila taratibu akapambana mpaka mwishoni mwa awamu yake alikua vizuri tayari, ila hii awamu ya tano...hehehe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi majuzi kikao kimefanywa na marais wa EAC kujadili Corona, walitumia mfumo wa utaalam wa video, Tanzania ikanuna haikushiriki, leo kikao kimefanywa na mataifa ya SADC kupitia njia hiyo hiyo, bado Tanzania imewanunia na hao pia, ndugu zetu wa kusini hamuoni kama mnajitenga na huo ubabe wenu, enzi hizi za utandawazi hamuwezi kusafiri wenyewe.

Kama tatizo ni lugha ya Kiingereza, mnaweza mkapewa mkalimani awasaidie, muhimu mkahudhuria hivi vikao ili muuze hizo sera za mapaipai na maparachichi kupatikana na corona, pia utaalam wenu wa kufukiza, mtasiklizwa sana, acheni kununa, sijui mbona mna hasira hivi siku hizi?

Hii video hapa rais wa Afrika Kusini akileleza alivyojaribu kuihusisha Tanzania bila kufanikiwa.

hahahaaaa.... wewe nyang'au wewe!!!
 
Mlipigiwa simu mkaombwa muongoze, mkatoa vijisababu vya logistics ilhali ni remote video, Kikwete mwanzo mwanzo alikua na matatizo ya lugha, ila taratibu akapambana mpaka mwishoni mwa awamu yake alikua vizuri tayari, ila hii awamu ya tano...hehehe
Ameshatoka chato sasa ivi yupo katikati ya pori anakimbizwa na corona..
Corona ipo some few meters toka alipo.
 
Hii mada yako imeshakushinda, nakushauri uanzishwe mada mpya kama kawaida yako..

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani hii mada inanijadili mimi? Nishindwe kivipi ilhali sie mimi ninayechekwa, hebu nenda kule kwenye jukwaa la siasa uone nyuzi zinazojadili hicho kituko mlichokifanya, yaani nimekua napitia comments humo na kucheka sana.
 
Hii video hapa rais wa Afrika Kusini akileleza alivyojaribu kuihusisha Tanzania bila kufanikiwa.
Tupe maazimio ya hivyo vikao vya harusi
Mkenya na Uganda mlifunga mipaka yenu bila hata kuishirikisha Tanzania na hamkuita kikao,sie hatukulalamika
Tanzania ikiamua kufunga mipaka yake itaua wengi sana ,tuacheni tupambane na hali zetu,huu si wakati wa kupotezeana muda na vikao
 
Nyie mumefungiwa mipaka na wote hadi Zambia. Mumeshindwa kuchukua tahadhari, stori za mapaipai tu.
 
Hivi majuzi kikao kimefanywa na marais wa EAC kujadili Corona, walitumia mfumo wa utaalam wa video, Tanzania ikanuna haikushiriki, leo kikao kimefanywa na mataifa ya SADC kupitia njia hiyo hiyo, bado Tanzania imewanunia na hao pia, ndugu zetu wa kusini hamuoni kama mnajitenga na huo ubabe wenu, enzi hizi za utandawazi hamuwezi kusafiri wenyewe.

Kama tatizo ni lugha ya Kiingereza, mnaweza mkapewa mkalimani awasaidie, muhimu mkahudhuria hivi vikao ili muuze hizo sera za mapaipai na maparachichi kupatikana na corona, pia utaalam wenu wa kufukiza, mtasiklizwa sana, acheni kununa, sijui mbona mna hasira hivi siku hizi?

Hii video hapa rais wa Afrika Kusini akileleza alivyojaribu kuihusisha Tanzania bila kufanikiwa.

Kuna zee moja halina exposure na international rilesheni. Lenyewe kila mahali linatoa toa amri tu
 
Kama tatizo ni lugha ya Kiingereza ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni basyaishie hapo!

Kuna watu wengine hapa walianzisha mada wakisema Tanzania ndo mfano wa kuigwa katika vita dhidi ya corona alafu kwa vikao vya regional countries ambapo watu wana exchange ideas kwa minajil ya corrdinated response, tanzania haionekani!

KWa mfano angalia vile IGAD imeamua kufanya coordinated respose, Tuta exchange ideas alafu the best ideas zikikubalika, member countries watazifanya kwa pamoja ili kuhakikisha member counntries wote wamalize corona kwa wakati mmoja ndo wakifungua mipaka kusiwe na new wave of infections kutoka nchi jirani... Kwahivyo vikao vya regional countries ni muhiu sana kufundishana na ku learn the best methods from each other....

Hizo ideas mlizo exchange hazijakubalika tu [emoji23][emoji23][emoji23]

Ujuaji mwingi kumbe kichwani hakuna kitu.

joto la jiwe
 
Back
Top Bottom