Rais alishaongea na mwenzake wa South Africa alipotoa taarifa ya kupima Mbuzi. Inawezekana walikubaliana asimamie mkutano.Hivi majuzi kikao kimefanywa na marais wa EAC kujadili Corona, walitumia mfumo wa utaalam wa video, Tanzania ikanuna haikushiriki, leo kikao kimefanywa na mataifa ya SADC kupitia njia hiyo hiyo, bado Tanzania imewanunia na hao pia, ndugu zetu wa kusini hamuoni kama mnajitenga na huo ubabe wenu, enzi hizi za utandawazi hamuwezi kusafiri wenyewe.
Hilo lako..πππ€ͺGiza hutengeneza maumbo
Jr[emoji769]
ila mngepata tabu sana kwenye kikao kama hicho maana kama mwenyekiti mngetegemewa kukiendesha halafu changamoto ya lugha.
Rais Rafiki wa Rais wetu - JamiiForums
Acha ujuha kijana.
Secretary General wa SADC ni Dr Stergomena Tax a Tanzanian national yeye ndio anaendesha SADC yote tokea Gaborone Botswana for the past 10 years:-π
Zaidi ya hap current chair wa SADC ndio Mzee baba JPM na all Work Group chairs ni respective ministers wa Tanzania mpaka hapo our chairmanship expires sometimes this year.
Uliza kabla ya kupost vitu vingine.
Mbona vikao hivyo vimekuwa vikifanyika sana tu, umeshasahsu ni juzi tu viongozi wote wa SADC walikua Bongo na mwenyeji wao alikua ni JPM.
Vikao vya SADC kwa kutumia mtandao viliasisiwa na Tanzania chini ya TTCL, hii habari ipo humu tayari mbona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlipigiwa simu mkaombwa muongoze, mkatoa vijisababu vya logistics ilhali ni remote video, Kikwete mwanzo mwanzo alikua na matatizo ya lugha, ila taratibu akapambana mpaka mwishoni mwa awamu yake alikua vizuri tayari, ila hii awamu ya tano...hehehe
hahahaaaa.... wewe nyang'au wewe!!!Hivi majuzi kikao kimefanywa na marais wa EAC kujadili Corona, walitumia mfumo wa utaalam wa video, Tanzania ikanuna haikushiriki, leo kikao kimefanywa na mataifa ya SADC kupitia njia hiyo hiyo, bado Tanzania imewanunia na hao pia, ndugu zetu wa kusini hamuoni kama mnajitenga na huo ubabe wenu, enzi hizi za utandawazi hamuwezi kusafiri wenyewe.
Kama tatizo ni lugha ya Kiingereza, mnaweza mkapewa mkalimani awasaidie, muhimu mkahudhuria hivi vikao ili muuze hizo sera za mapaipai na maparachichi kupatikana na corona, pia utaalam wenu wa kufukiza, mtasiklizwa sana, acheni kununa, sijui mbona mna hasira hivi siku hizi?
Hii video hapa rais wa Afrika Kusini akileleza alivyojaribu kuihusisha Tanzania bila kufanikiwa.
Ameshatoka chato sasa ivi yupo katikati ya pori anakimbizwa na corona..Mlipigiwa simu mkaombwa muongoze, mkatoa vijisababu vya logistics ilhali ni remote video, Kikwete mwanzo mwanzo alikua na matatizo ya lugha, ila taratibu akapambana mpaka mwishoni mwa awamu yake alikua vizuri tayari, ila hii awamu ya tano...hehehe
Hii mada yako imeshakushinda, nakushauri uanzishwe mada mpya kama kawaida yako..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe maazimio ya hivyo vikao vya harusiHii video hapa rais wa Afrika Kusini akileleza alivyojaribu kuihusisha Tanzania bila kufanikiwa.
Tupe maazimio ya hivyo vikao vya harusi
Mkenya na Uganda mlifunga mipaka yenu bila hata kuishirikisha Tanzania na hamkuita kikao,sie hatukulalamika
Tanzania ikiamua kufunga mipaka yake itaua wengi sana ,tuacheni tupambane na hali zetu,huu si wakati wa kupotezeana muda na vikao
Kuna zee moja halina exposure na international rilesheni. Lenyewe kila mahali linatoa toa amri tuHivi majuzi kikao kimefanywa na marais wa EAC kujadili Corona, walitumia mfumo wa utaalam wa video, Tanzania ikanuna haikushiriki, leo kikao kimefanywa na mataifa ya SADC kupitia njia hiyo hiyo, bado Tanzania imewanunia na hao pia, ndugu zetu wa kusini hamuoni kama mnajitenga na huo ubabe wenu, enzi hizi za utandawazi hamuwezi kusafiri wenyewe.
Kama tatizo ni lugha ya Kiingereza, mnaweza mkapewa mkalimani awasaidie, muhimu mkahudhuria hivi vikao ili muuze hizo sera za mapaipai na maparachichi kupatikana na corona, pia utaalam wenu wa kufukiza, mtasiklizwa sana, acheni kununa, sijui mbona mna hasira hivi siku hizi?
Hii video hapa rais wa Afrika Kusini akileleza alivyojaribu kuihusisha Tanzania bila kufanikiwa.
Uzushi tuChato kashaondoka. Kaenda kujificha kwenye kisiwa kimoja huko kati
Tuma pichaUzushi tu
Jamaa tupo nae hapa kijijini tocha
Kama tatizo ni lugha ya Kiingereza ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni basyaishie hapo!
Kuna watu wengine hapa walianzisha mada wakisema Tanzania ndo mfano wa kuigwa katika vita dhidi ya corona alafu kwa vikao vya regional countries ambapo watu wana exchange ideas kwa minajil ya corrdinated response, tanzania haionekani!
KWa mfano angalia vile IGAD imeamua kufanya coordinated respose, Tuta exchange ideas alafu the best ideas zikikubalika, member countries watazifanya kwa pamoja ili kuhakikisha member counntries wote wamalize corona kwa wakati mmoja ndo wakifungua mipaka kusiwe na new wave of infections kutoka nchi jirani... Kwahivyo vikao vya regional countries ni muhiu sana kufundishana na ku learn the best methods from each other....
Saahii vile Vikao vya EAC, SADC na IGAD hamna tena wamepoteana JPM aliwaambia hii ni vita haina muda wa vikao wakamuona mjinga!Wakuje hapa tuendeleze mjadala.
πππ