Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,929
- 40,599
Kwa sababu za kiulinzi,hospital ya jeshi wanataratibu zao hivyo inaonekana ina ulinzi tosha.
Nimejaribu tu kujibu
Hahaha usalama gani na wa nini au nani unahitajika mortuary ?!1. Lugalo kikubwa ni ulinzi na utulivu wa hali ya juu eneo lile.
Muhimbili mortuary yake haina utulivu na sio salama sana kama ilivyo lugalo.
Ifahamike kuwa moja kati ya hospitali ambazo ni za kawaida kabisa basi moja wapo ni Lugalo, vifaa, huduma, madokta n.k ni kawaida kabisa.
Hii Hospital isingekuwa ni hiyo mortuary hata jina hilo la Lugalo Hospital lisingesikika.
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Naona umekurupuka, hujajua sisi twazungumzia nini khs hizi mortuary, kama hauna ufahamu mzuri juu uhifadhi wa miili ni vyema ungekuwa msomaji tu ili ujifunze.Hahaha usalama gani na wa nini au nani unahitajika mortuary ?!
Au unaongelea usalama wa wanasiasa?!
Binadamu wote ni sawa, siasa ni kula kwao acheni kuwatukuza sio miungu hao.
Natamani nikuone unafafanajeNdipo mahali panausiri mkubwa pili ukumbuke alikuwa Amiri jeshi mkuu was majeshi yote. End
kwani mortuary hapahitaji ulinziHahaha usalama gani na wa nini au nani unahitajika mortuary ?!
Au unaongelea usalama wa wanasiasa?!
Binadamu wote ni sawa, siasa ni kula kwao acheni kuwatukuza sio miungu hao.
yeye ni nani
Kwani kuna wezi wa maiti siku hizi?Kwa sababu za kiulinzi,hospital ya jeshi wanataratibu zao hivyo inaonekana ina ulinzi tosha.
Nimejaribu tu kujibu
Kwani kuna wezi wa maiti siku hizi?
Unaiba kiungo gani cha chenkapa!? Then unakipeleka wapi?Ndio na baadhi ya viungo vya mwilini
Unaiba kiungo gani cha chenkapa!? Then unakipeleka wapi?
Protoko za kilimbukeni.
.......nyama ya udongo.
Unalinda nini au nani, na ili iweje?!kwani mortuary hapahitaji ulinzi
1. Lugalo kikubwa ni ulinzi na utulivu wa hali ya juu eneo lile. Muhimbili mortuary yake haina utulivu na sio salama sana kama ilivyo lugalo.
Ifahamike kuwa moja kati ya hospitali ambazo ni za kawaida kabisa basi moja wapo ni Lugalo, vifaa, huduma, madokta n.k ni kawaida kabisa.
Hii Hospital isingekuwa ni hiyo mortuary hata jina hilo la Lugalo Hospital lisingesikika.
kwahiyo wanaogopa watu wataiba maiti?
Usiwe siriazi namna hiyo😁Mkuu unaonea wivu hadi maiti daah.
Povu lote hili
Miili yao huhifadhiwa Lugalo
Maradhi yao hutibiwa Kijitonyama
Zote ni kwa sababu za usalama
Hata Dr Omar Makamu wa Mkapa nae alifariki mwezi wa saba kama Mkapa na kwa ugonjwa unaofanana nae alihifadhiwa Lugalo
Viongoz hapo wapo kazini na posho zipo kama kawaida
Hayo maswali anaweza akajibu bwana Mshana.......anaweza akakwambia mtu hata akipata ukope wa Che unaweza ukawa dili huko kilingeniUnaiba kiungo gani cha chenkapa!? Then unakipeleka wapi?
Protoko za kilimbukeni.
.......nyama ya udongo.
Unaposema ya kawaida unamaanisha nin mkuu??1. Lugalo kikubwa ni ulinzi na utulivu wa hali ya juu eneo lile. Muhimbili mortuary yake haina utulivu na sio salama sana kama ilivyo lugalo.