Vikao vya Kamati ya Misiba ya Kitaifa hulipwa posho? Kwanini miili ya viongozi taifa huhifadhiwa Lugalo badala ya MNH?

Vikao vya Kamati ya Misiba ya Kitaifa hulipwa posho? Kwanini miili ya viongozi taifa huhifadhiwa Lugalo badala ya MNH?

Hospitali ya Lugalo ni ya Jeshi na Kijitonyama ni ya TISS, viongozi hata wakiumwa na mafua hutibiwa kijitoonyama yaani TISS.
Wakizidiwa hupelekwa .
Kuna sheria ianyosema misiba ya kitaifa na isiyo ya kitaifa. Mfano Bashite akifa siyo msiba wa kitaifa.
Poshoya kikao cha msib ni kubwa sana, nashindwa kukutajia hapa, utachanganyikiwa.

Msiba wa kitaifa ni dili. Fanya jitihada za makusudi uingie kwenye kamati. Utapiga hela ndefu.
 
Ushawahi kufika lugalo? Kwa mara ya kwanza naifahamu Lugalo ilikuwa 2019, nikaingia kwa miguu yangu, nikaona kww macho yangu, mwanzo wa Hospital mpaka mwisho.

Kwangu TMJ, Regency n.k zimeiacha mbali mno hii Lugalo, kilichonichosha zaidi ya wahudumu wake, wana ufahamu wa kawaida mno, sio madokta haswa.

Ninasema sio madokta haswa sababu ninajua mawili matatu kuhusu afya ya mwanadamu.

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Hakuna hospitali pale, jamaa yangu alipata ajari akavunjika mguu tukampeleka hapo, ajabu wakakosea kunga mguu mara tatu yani ikawa ni kuvunja weka p.o.po toa vunja weka tena! Mpaka mara tatu ikabid tumwamishe hospital. Sina hamnao wale, ushenzi na nusu tulivyojalibu kuhoji wakadai tunawatusi wacha tufyekeshwe😡
 
Hakuna hospitali pale, jamaa yangu alipata ajari akavunjika mguu tukampeleka hapo, ajabu wakakosea kunga mguu mara tatu yani ikawa ni kuvunja weka p.o.po toa vunja weka tena! Mpaka mara tatu ikabid tumwamishe hospital. Sina hamnao wale, ushenzi na nusu tulivyojalibu kuhoji wakadai tunawatusi wacha tufyekeshwe[emoji35]
Hahahahaa waliwafyekesha? Hahahahahaha

Mwaka huu nna ndugu yangu alifanyiwa operation ya mkono pale, ni wakamuweka sijui chuma gani, hovyo kabisa.

Tukampeleka TMJ, jamaa ndani ya siku 1 akawa shwari kabisa ila akasema hakupaswa kuwekewa chuma na ikabidi wakiache.

Kuhusu mgonjwa mwingine wa kansa ambaye walimfanyia operation naomba tu nisiongee ila apumzike kwa amani marehemu.

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom