Vikao vya Kamati ya Misiba ya Kitaifa hulipwa posho? Kwanini miili ya viongozi taifa huhifadhiwa Lugalo badala ya MNH?


Msiba wa kitaifa ni dili. Fanya jitihada za makusudi uingie kwenye kamati. Utapiga hela ndefu.
 
Hakuna hospitali pale, jamaa yangu alipata ajari akavunjika mguu tukampeleka hapo, ajabu wakakosea kunga mguu mara tatu yani ikawa ni kuvunja weka p.o.po toa vunja weka tena! Mpaka mara tatu ikabid tumwamishe hospital. Sina hamnao wale, ushenzi na nusu tulivyojalibu kuhoji wakadai tunawatusi wacha tufyekeshwe😡
 
Hahahahaa waliwafyekesha? Hahahahahaha

Mwaka huu nna ndugu yangu alifanyiwa operation ya mkono pale, ni wakamuweka sijui chuma gani, hovyo kabisa.

Tukampeleka TMJ, jamaa ndani ya siku 1 akawa shwari kabisa ila akasema hakupaswa kuwekewa chuma na ikabidi wakiache.

Kuhusu mgonjwa mwingine wa kansa ambaye walimfanyia operation naomba tu nisiongee ila apumzike kwa amani marehemu.

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…