raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Hivi vitaasisi vya pesa mtaani vinagawa pesa tu na wanawake bila hiyana wanasomba biashara hakuna marejesho yakianza ni kutafutana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tiba hii hapa:Hayo yamesemwa na Daktari bingwa wa Magonjwa ya akili kutoka Hospitali ya Mirembe mkoani Dodoma, Suluma Aslan akizungumza na Waandishi wa Habari leo Agosti 3, 2022
Suluma amesema takwimu zilizofanywa na Hospitali ya Mirembe mwanzoni mwa mwezi Julai 2021 zimebaini Tanzania kuna wagonjwa 6,000 hadi 7,000 huku katika kila nane wawili wana ugonjwa wa afya ya akili.
“Utafiti tuliofanya Mirembe unaonyesha wanawake ni wahanga wakubwa wa magonjwa ya akili na hii inasababishwa na msogno wa mawazo kutokana na madeni makubwa na vikundi vya vikoba,”amesema Aslan.
Amesema tafiti hzo pia zimeonyesha wanawake wanapata zaidi Sonona kuliko wanaume na hiyo inachangiwa pia kuzaa na kulea Watoto.
Kylanda mpyaTiba hii hapa:
Umewahi kusikia kuhusu CMC Marketplace?
.
.
CMC Marketplace ni mfumo wa Soko la kutegemeana kwa wale wanaoamini kufanikiwa kwa kushikana mikono na kuinuana kiuchumi.
.
.
Watu waliojiunga kwenye mfumo huu, hufanya biashara zao kwa mtindo wa kutegemeana zaidi.
.
.
Kwa mfano:
Anayeuza mashuka hutegemewa na wengi kwenye mfumo,
.
.
anayeuza vitenge hutegemewa na wengi kwenye mfumo,
.
.
Fundi hutegemewa na wengi kwenye mfumo,
.
.
Kwa kifupi kila mtu aliyepo kwenye mfumo huu, anapaswa kuwa mteja wa biashara iliyopo kwenye mfumo, ili kuinuana kiuchumi.
.
.
Na hiki ndicho kitu kikubwa kinachowaunganisha pamoja kwenye mfumo mmoja.
.
.
Lengo kuu ni ili wasikwame kupata wateja, mikopo, kodi, ada na marejesho ya mikopo.
.
.
Mtu yeyote, anaweza kujiunga na 'mfumo' huu, akiwa na biashara na hata bila biashara. Kila siku, watu wanazidi kujiunga.
.
.
Hii ndio Familia yetu kubwa ya kiuchumi kwa wale wanaoamini kufanikiwa kwa kushikana mikono na kuinuana kiuchumi.
.
.
CMC Marketplace - +255 714 042421.
Kuna malipo??Tiba hii hapa:

Hakuna malipoKuna malipo??
Una vingapi 😂😄Hatari sana
Hahaa unataka kuongeza stress za hela eeh
😂😂😂😂😂 zile si mwisho wa mweziHahaa unataka kuongeza stress za hela eeh
Week🤣🤣🤣😂😂😂😂😂 zile si mwisho wa mwezi
Tutafute nyingine za kila week