VIKOBA na Madeni vyatajwa kuwa chanzo cha ugonjwa wa Afya ya Akili. Wanawake wahanga wakubwa

Hivi vitaasisi vya pesa mtaani vinagawa pesa tu na wanawake bila hiyana wanasomba biashara hakuna marejesho yakianza ni kutafutana
 
Tiba hii hapa:

Umewahi kusikia kuhusu CMC Marketplace?
.
.
CMC Marketplace ni mfumo wa Soko la kutegemeana kwa wale wanaoamini kufanikiwa kwa kushikana mikono na kuinuana kiuchumi.
.
.
Watu waliojiunga kwenye mfumo huu, hufanya biashara zao kwa mtindo wa kutegemeana zaidi.
.
.
Kwa mfano:
Anayeuza mashuka hutegemewa na wengi kwenye mfumo,
.
.
anayeuza vitenge hutegemewa na wengi kwenye mfumo,
.
.
Fundi hutegemewa na wengi kwenye mfumo,
.
.
Kwa kifupi kila mtu aliyepo kwenye mfumo huu, anapaswa kuwa mteja wa biashara iliyopo kwenye mfumo, ili kuinuana kiuchumi.
.
.
Na hiki ndicho kitu kikubwa kinachowaunganisha pamoja kwenye mfumo mmoja.
.
.
Lengo kuu ni ili wasikwame kupata wateja, mikopo, kodi, ada na marejesho ya mikopo.
.
.
Mtu yeyote, anaweza kujiunga na 'mfumo' huu, akiwa na biashara na hata bila biashara. Kila siku, watu wanazidi kujiunga.
.
.
Hii ndio Familia yetu kubwa ya kiuchumi kwa wale wanaoamini kufanikiwa kwa kushikana mikono na kuinuana kiuchumi.
.
.
CMC Marketplace - +255 714 042421.
 
Kylanda mpya

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kuna malipo??
 
Wapi kuna kikoba cha online tucheze

Yess cha online
Meeting zote zooom

Cc Lenie
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ zile si mwisho wa mwezi
Tutafute nyingine za kila week
Week🀣🀣🀣
Mambo ya kuanza kupiga pasi ndefu kisa ijumaa upatu unatakiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…