Vikoba na wanawake

Umesema vyema ila ninewaza tu kama mwanaume akishirikishwa na vitu vikafanyika kiuwazi maendeleo kwenye nyumba siyaongezeka
Ni kweli ila mostly wamama wanajitetea kwamba Wababa hawapendi au hawaamini mambo hayo sana wanahisi ni uongo na utapeli tu hivo hawawezi kusupport mambo hayo ya wanawake, ila pia baba ahangaike na pesa ya matumizi home pia na hivo vicoba tena mmh. So hii inapelekea mama kujibana kwenye hiyo bajeti aloacha Baba na matokeo ni hapo home mtashindia ugali+mabamia hadi mkome😀
 
Kwa me sioni shida kushindia ugali bamia kama mwisho wa mwaka kuna malengo ya kifamilia yanatimia nadhani ni mbaya kwa asiye na malengo
 
Kuna ubaya kama mwanaume atahusika kwenye hayo marejesho na si kumwachia mkewe pekee
Lkn nyie wanawake baadhi hamridhiki

Mumeo anakupa 30 upeleke

Lkn hapohapo karoho katamaa kanakuingia. Unawaza tena umpige nani kizinga[emoji23][emoji23]
 
Katika familia unakuta mke au mume ana vyama vingi mnoo vya vikoba ilihali familia inachangamoto ya kifedha.Bado vikoba vikivunjwa pesa hizo hazimnufaishi mume/mke naona kuna usiri mkubwa mnoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…