Vikofia/Vitaiti vya kubania nywele na mabinti walio vicheche

Umetumia sample size gani ndo ukaja na hiyo conclusion yako?

Huo Ni mtazamo wako tu Wala hauna mashiko yoyote.
 
Watakuja kukwambia wale wanawake wanaopenda kuvaa visandal vya vinyoya nao no vicheche pia
 
Umetumia sample size gani ndo ukaja na hiyo conclusion yako?

Huo Ni mtazamo wako tu Wala hauna mashiko yoyote.
Sijatoa general conclusion

Ndio maana nimesema "nawaona ni vicheche" sijasema "huwa ni vicheche"

Soma uelewe kwanza.
 
Mkuu nimetoka kumsoma Eli Cohen huyo kwenye avatar yako. Kumbe alikuwa kachero wa mosad aliyeinfiltrate Syria.

Alizaliwa misri kwenye familia ya mazrahi Jewish. Mosad walimtuma Syria. Baadaye Syria wakamshtukizia na kumyonga.
 
Mkuu nimetoka kumsoma Eli Cohen hiyo kwenye avatar yako. Kumbe alikuwa kachero wa mosad aliyeinfiltrate Syria.

Alizaliwa misri kwenye familia ya mazrahi Jewish. Mosad walimtuma Syria. Baadaye Syria wakamshtukizia na kimyonga.View attachment 2715241
Yah sure

One of the best kwa israel, alisaidia israel kushinda vita kutoka mataifa ya kiarabu.

Pia ni baba yake sasha cohen, huyu muigizaji alieact movie ya the dictactor, borat,
 
Yah sure

One of the best kwa israel, alisaidia israel kushinda vita kutoka mataifa ya kiarabu.

Pia ni baba yake sasha cohen, huyu muigizaji alieact movie ya the dictactor, borat,
Wow bro! Thanks so much for this precious information. I didn't know this despite ujuaji ujuaji wangu. Really this is a very vital piece of information. Am glad to learn a new thing. I like Sasha so much. He really has a peculiar sense of humor.

Penda sana kujifunza vitu vipya. Thanks JF!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…