Vikofia/Vitaiti vya kubania nywele na mabinti walio vicheche

Vikofia/Vitaiti vya kubania nywele na mabinti walio vicheche

Yah sure

One of the best kwa israel, alisaidia israel kushinda vita kutoka mataifa ya kiarabu.

Pia ni baba yake sasha cohen, huyu muigizaji alieact movie ya the dictactor, borat,
Wenzetu technology yao ipo juu zamani sana, kama mtu anawasiliana kwa mawimbi ya redio miaka hiyo nawaza sana juu ya Tanzania yangu hii
 
Wow bro! Thanks so much for this precious information. I didn't know this despite ujuaji ujuaji wangu. Really this is a very vital piece of information. Am glad to learn a new thing. I like Sasha so much. He really has a peculiar sense of humor.

Penda sana kujifunza vitu vipya. Thanks JF!
Appreciate bro, Nice of u too to know more.

Yah sasha ni the best.

Kama alivyo baba yake, ana confidence ya juu sana, anaweza kutembea hata chupi ya kike pale central park new york nzima akifurahisha watu.

Baba yake ni shujaa pale israel na katika mataifa ya magharibu maana alijitolea kulilinda taifa lake.
 
Back
Top Bottom