Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Wenzetu technology yao ipo juu zamani sana, kama mtu anawasiliana kwa mawimbi ya redio miaka hiyo nawaza sana juu ya Tanzania yangu hiiYah sure
One of the best kwa israel, alisaidia israel kushinda vita kutoka mataifa ya kiarabu.
Pia ni baba yake sasha cohen, huyu muigizaji alieact movie ya the dictactor, borat,