Vikombe vyenye nembo ya timu ya mpira au picha unayoipenda

Lazima iwe ya timu, vipi ikiwa picha ya kitu kingine kama mtoto n. K
 
Mimi natafuta kiki kwa pikipiki nataka nifanye mass order ya vikombe 500 vyenye picha tofauti za JPM. Nataka nivigawe bure barabarani maeneo ya Kawe. Utanifanyia bei gani?
 
Mimi natafuta kiki kwa pikipiki nataka nifanye mass order ya vikombe 500 vyenye picha tofauti za JPM. Nataka nivigawe bure barabarani maeneo ya Kawe. Utanifanyia bei gani?
hadi uwe na kibali maalum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…