- Thread starter
- #41
Picha hazifutiki hizi, ni vikombe vilivyotengenezwa kwa ajili hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha hazifutiki hizi, ni vikombe vilivyotengenezwa kwa ajili hiyo
500 zinawezekana lakini si unajua picha ya mkuu , lazima kuombea kibali, njoo pm tuzungumze kuhusu beiMimi natafuta kiki kwa pikipiki nataka nifanye mass order ya vikombe 500 vyenye picha tofauti za JPM. Nataka nivigawe bure barabarani maeneo ya Kawe. Utanifanyia bei gani?
Nje ya dar tutafanya utaratibu wa kukutumia, hii inategemea na gharama za usafiri, je unaishi mkoa gani
MwanzaNje ya dar tutafanya utaratibu wa kukutumia, hii inategemea na gharama za usafiri, je unaishi mkoa gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Una mtu yoyote ambaye Yuko huku anaweza kukuchulia, maana usafiri mpaka mwanza sijajua ni kiasi gani, nitaenda kuulizia
Mmh hata sina hebu jaribu kuulizia namimi ntatafuta mtu nione kama ntaweza kumpataUna mtu yoyote ambaye Yuko huku anaweza kukuchulia, maana usafiri mpaka mwanza sijajua ni kiasi gani, nitaenda kuulizia
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Kaka, tunajaribu tuwezavyo. Mteja mfalme, karibu na wewe pia,delp307 kastama kea yako ni ya kibiashara sana. Safi na hongera.
Hiyo "Clip" ya "Magic Cup" ni ya kwenu ama umeitoa mtandaoni kuonesha jinsi kinavyokuwa? Maana nataka kumtumia kikombe kimoja Polepole, ili akiweka chai tu inatokea Nembo ya CHADEMA.Asante Kaka, tunajaribu tuwezavyo. Mteja mfalme, karibu na wewe pia,
Hivi vya kawaida havikubaliPamoja na kikombe, wewe unaleta picha tu na ujumbe wako , kisha Sisi tutafanya yetu.
Pia kumbuka hivi vikombe sio vile vya kawaida kariakoo. Process nzima inaitwa sublimation printing. Ili kufanikisha picha itokee vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Clip ni kama reference Tu, lakini kikombe kinatoka kama hicho kilivyo, unaweza kumtumia hakuna neno, atafurahi tuHiyo "Clip" ya "Magic Cup" ni ya kwenu ama umeitoa mtandaoni kuonesha jinsi kinavyokuwa? Maana nataka kumtumia kikombe kimoja Polepole, ili akiweka chai tu inatokea Nembo ya CHADEMA.
Asante ,unakaribishwaHongera mkuu.
Nitakutafuta niunge mkono juhudi zako.
Vikombe vya kawaida havikubali, maana haviko maalumu kwa ajili ya kuchoma pichaHivi vya kawaida havikubali
Hii ni biashara kama watu wanapenda hivyo hana budi kuendana naoUtumwa huu wa kuthamini cha wasiokujua kuliko chako unawatesa sana wa Africa, Tanzania hapa hakuna mwananchi asiye na timu iwe simba au yanga, nafikiri ungeweka tu picha ya simba au yanga au mlima kilimanjaro ungepata order nyingi ila ubunifu ndio tatizo la vijana wengi Tanzania
Sio lazima mtu achukue vikombe vya timu nilizoweka, ni timu yoyote inawezekana ,kama ni kuweka mlimani Kilimanjaro au kuweka wanyama unadhani nani angekuwa yuko interested. Kwenye biashara unatakiwa kuweka kitu cha kuvutia ili watu wakujue kisha wateja wenyewe wanaweza kujiongeza. Na nilishasema kwenye Uzi hapo juu ni picha yoyote au ujumbe wowote inawezekana kuchapishaUtumwa huu wa kuthamini cha wasiokujua kuliko chako unawatesa sana wa Africa, Tanzania hapa hakuna mwananchi asiye na timu iwe simba au yanga, nafikiri ungeweka tu picha ya simba au yanga au mlima kilimanjaro ungepata order nyingi ila ubunifu ndio tatizo la vijana wengi Tanzania
Ni kweli kabisa, watu wanapenda timu za nje kuliko Simba na yanga. AsanteHii ni biashara kama watu wanapenda hivyo hana budi kuendana nao